Mtu anapona ukimwi kwa njia ya miujiza ? Ndiyo.

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,245
Points
2,000

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,245 2,000
Ndugu yangu MziziMKavu, hapo kwenye Red; hili ndio tatizo kubwa la sisi wanadamu: IMANI HABA, sasa kama unakua na mtazamo hasi na imani haba kiasi hicho unawezaje kupona ukienda kanisani kuombewa? Nimeona hata kwa comments humu wengi wanaonyesha kutoamini miujiza kwa jina la Yesu, and that is EXACTLY WHY THEY HAVE NEVER EXPERIENCED ANY OR WILL NEVER SEE ANY MIRACLE in their lives!!!.
Kumbuka hata wakati wa Bwana Yesu alipokuwepo duniani pamoja na upako na uweza mkuu uliokuwa juu yake si wote waliponywa, ilitegemea na imani na mtazamo wa muhusika. Kuna siku alikwenda kwenye mji wa Nazareti na wakawa wanam-despise, ikawaje?: "[SUP]57 [/SUP]And they took offense at Him...[SUP]58 [/SUP]And He did not do miracles there because of their unbelief." Matthew 13:57-58

Tafakari.....
Utabiri wa Yesu juu ya Manabii wa uongo na dalili za mwisho wa dunia.


Marko, Chapter 13


[SUP]13:5[/SUP] Yesu akaanza kuwaambia, Jihadharini, mtu asiwadanganye.

[SUP]13:6[/SUP] Wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ndiye, nao watadanganya wengi.

Kitabu cha Mathayo 24:1-5 na Mathayo 24:24-28

1.Yesu akatoka hekaluni na alipokuwa akienda zake, wanafunzi wake wakamwendea ili kumwonyesha majengo ya hekalu.


2.
Ndipo Yesu akawauliza, "Je, mnayaona haya yote? Amin, amin nawaambia, hakuna hata jiwe moja hapa litakalobaki juu ya jingine, kila moja litabomolewa."


3.Yesu alipokuwa ameketi kwenye Mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamjia mahali pasipo na watu, wakamwuliza, "Tuambie, mambo haya yatatukia lini, nayo ni nini dalili za kuja kwako na za mwisho wa dunia?


4.
Yesu akawajibu, "Angalieni, mtu asiwadanganye.


5
Kwa maana wengi watakuja kwa jina langu wakidai, ‘Mimi ndiye Kristo, nao watawadanganya wengi.


24.Kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo na kufanya ishara kubwa na miujiza mingi ili kuwapotosha, hata ikiwezekana wale wateule hasa. 25Angalieni, nimetangulia kuwaambia mapema.


26."Kwa hiyo mtu ye yote akiwaambia, ‘Yule kule nyikani,’ msiende huko. Au akisema, ‘Yuko kwenye chumba,’ msisadiki.

27Kwa maana kama vile umeme utokeavyo mashariki na kuonekana hata magharibi, ndivyo itakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.

28Kwa maana po pote ulipo mzoga, huko ndiko wakusanyikapo tai.
 

BAOBAO

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
1,875
Points
1,250

BAOBAO

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2012
1,875 1,250
Si jambo la ajabu sasa, watu kuona ukimwi ni Ugonjwa wa kawaida tu!
Tutakiokoaje kizaa hiki na HIV+ ?
CC
@QMan BAK
ekn
 
Last edited by a moderator:

BAOBAO

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
1,875
Points
1,250

BAOBAO

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2012
1,875 1,250
Mkuu, Orrionorri Je,ugonjwa wa ukimwi katika maombi yenu maalum,umepata nafasi kama Ebola; kwa kuwa ni janga kuu Tz ?
 
Last edited by a moderator:

BAOBAO

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
1,875
Points
1,250

BAOBAO

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2012
1,875 1,250
Wana jamvi ! Dawa za ARVs, zimeleta faida ndogo,kuliko hasara kwa taifa; kwani ongezeko ni kubwa la waathirika wa HIV+ !
 

BAOBAO

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
1,875
Points
1,250

BAOBAO

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2012
1,875 1,250
Leo ni siku ukimwi duniani; hivyo ni vema zaidi kupima kama tuna virus HIV+ na kuchukua hatua stahiki.
JE,UMEPIMA AFYA ?
 

Mahmetkid

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Messages
565
Points
225

Mahmetkid

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2012
565 225
Mapepo machafu yanayojitokeza na dalili zinazofanana na ugonjwa wa UKIMWI, wakati mwingine hadi vipimo vinaonyesha kuwa na maambukizi. Mtu wa aina hii akiombewa na yakiondoka ndiyo tunasema amepona
 

Christine1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
12,960
Points
2,000

Christine1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
12,960 2,000
Kwake Yesu kila jambo linawezekana!!!! Amen
Ndio! !
Njia za Mungu hazichunguziki..

Ss watu kwasbb akili na sayansi yao imefika mwisho na Mungu nae wanafikiri amefika mwisho...
Biblia inasema ' kwake Mungu yote yawezekana'full stop haijalishi unaumwa kitu gani....

Nb.magonjwa mengini nguvu za giza.
 

Christine1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
12,960
Points
2,000

Christine1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
12,960 2,000
...labda kuna makosa yalifanyika katika vipimo vyake na hivyo kuonekana kama alikuwa HIV+ wakati si hivyo. Nimeshaona kesi nchi mbali mbali ambazo wahusika waliambiwa wako HIV+ kumbe kuna makosa yalifanyika na baadaye baadhi yao waliamua kufungua mashtaka dhidi ya hospitali na madaktari waliowapa hitimisho ambalo halikuwa kweli. Vinginevyo siamini kama unaweza kuponywa kimiujiza.
BAK
Inawezekana ukiwa na imani!
 

Christine1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
12,960
Points
2,000

Christine1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
12,960 2,000
mkuu mimi napingana na kauli moja tu na ndio maana nipo kwenye msimamo wangu wa kupinga ni hivi je mtu mchafu anaweza kumuombea mgonjwa akapona? mchafu maana yake nini maana yake anaishi kwa unafiki anajifanya mtumishi wa mungu kumbe anatafuta pesa ya kwa ajili ya biashara yake, navyojua mimi mchungaji wa kweli ni yule ambae anaewachunga kondoo wake vyema kondoo wako mbele yeye nyuma huku akiwapeleka sehemu iliyo na malisho bora na kondoo wake wakapata afya njema na sifa na utukufu atapata mchungaji kwa malisho bora sasa hawa wachungaji wetu wao wanatangulia mbele kondoo nyuma nani atawaonyesha malisho bora kwa hawa kondoo?? no way please tusiishi kinafiki kabisa kabisa nitalipinga mpka mwisho. mchungaji anamiliki ndege, magari ila akitokea muumini anaumwa usafiri hata wa kumpeleka hospt akodi?? hili sitaki naomba nibake na imani yangu tu halafu siku nitakapokufa ndipo tutakapokutana huko huko kama kweli kupo tuone hukumu zinavyotolewa mtashangaa sana sema hutakuwa na muda wa kurudi duniani kuleta umbea.
Ok.
Kumbe shida yako ni mtu mchafu!
Ni kweli tumetenda dhambi!ht biblia inasema ' wote tumetenda dhambi hivyo tumepungukiwa na utukufu'
Bt glory be to God kuna msamaha!
So haijalishi mtu mchafu kiasi gani akiomba toba kwa Mungu anasamehewa!
Hata watumishi wapo hao walio wachafu but kumbuka kuna waliosafi pia!

Hata bibilia imetutahadharisha kuwa watakuja manabii wa uongo , kati ya hao wa ukweli ss kazi ni kwako kuwatambua.
So huwezi kuwa hukumu wote kwasbb ya hao wachafu.wapo ambao Mungu anawatumia na wanajinyenyekeza na hawachukui utukufu na hao ndio Mungu hufanya kazi pamoja nao.

Halafu kuwa.mtumishi sio kuwa masikini !
 

Christine1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
12,960
Points
2,000

Christine1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
12,960 2,000
Sawa kabisa kk tatizo shetani anatudanganya na dhambi kumbe yesu alisha kwisha vunja msalabani ndomana ukisoma isaya 53:5 kwa kupigwa kwake sisi tumepona watu hawataki amini hayo yote
Mkuu hivi unafikiri wengine watakuelewa hapa!?
Hawajua kila kitu kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho, na mbaya zaid shetani ndo anaujua vzr na kuitumia vzr huu ulimwengu wa roho kuliko wakristo!
Mambo ya rohoni haya!
Na ni Christianity hao eti
they made Jesus unpopular, kutajataja tu kwa jina la Yesu for nothing....ndo hao wanalitukanisha jina la Bwana
 

sawabho

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
5,289
Points
2,000

sawabho

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
5,289 2,000
Miujiza inaweza fanya kazi kwa ugonjwa ambao umeingia kwa mtu kimiujiza yaani kwa nguvu za giza, lakini huweze kuombewa ugonjwa ambao umeingia kwa njia ya contact au infections ukapona, haya ombewa upone malaria, Kaswende au Kisnono.
 

BAOBAO

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
1,875
Points
1,250

BAOBAO

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2012
1,875 1,250
Mtu haujui maandiko ya Biblia;wala uweza wake ni kunyamaza !
(MT 22:29)
HAKUNA NENO GUMU KWA MUNGU WA BIBLIA
{YER 32:27}
 

Forum statistics

Threads 1,353,137
Members 518,257
Posts 33,072,585
Top