Mtu anapona ukimwi kwa njia ya miujiza ? Ndiyo.

BAOBAO

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
1,875
1,250
IMANI CHANZO CHAKE NI KUSIKIA NENO ! Tukumbue,imani tulizonazo mbaya au nzuri zimetuletea mambo mabaya au mazuri katika kutafuta kufanikiwa kimaisha.
 
great vision

Senior Member
Jul 1, 2011
113
225
Nijibu ndiyo kwa sababu nimeongea uso kwa uso na KENNEDY MGOYEZI,anayeishi mkoani Arusha;ambaye ni shuhuda mmojawapo baada ya kutazama video ya shuhuda za waliopona ukimwi kwa njia ya maombezi kwenye YOUTUBE;nilipo tembelea www.bishopzacharykakobe.org
BAOBAO, Kwanza kabisa,Ninashukuru kwa jinsi ulivyolifanyia utafiti jambo hili la uponyaji kwa njia muujiza na kutuletea humu Jf. wakati wote lazima tuamini kwamba Mungu anaponya magonjwa yote,pamoja na ukimwa.mtu yeyote ambaye anamwamini Mungu ni kosa kusema Mungu anaponya kisukari lakini ukimwi hawezi.Sasa huyo atakuwa Mungu wa ajabu! Biblia inasema "Hakuna gumu la kumshinda la Mungu" tena "Yote yanawezekana kwake aminiye" kama alimfufua Lazaro sembuse ka bwana mdogo ukimwi? Mwaminini Mungu.Tembea kwanza "www.bishopzacharykakobe.org" ujione kwa macho yako na vyeti vya hospital mbalimbali kama uthibitisho.
 
UKI

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
694
0
jamani wala siwezi kuamini kabisa habari hii napita tu, kuna ugonjwa unaoitwa sijui hepatitis A and B mimi sio dk ila ugonjwa huu unadalili kabisa na ukimwi na unaua kama ukimwi ila bongo mtu akiugua huu ugonjwa wanasema ni ukimwi na maana nao ni upungufu wa kinga vile vile na unaambukizwa kwa njia ya kujamiana na unatibika na una sindano za kuzuia usiupate kama ukijulikana bongo sidhani kama hii services ipo na ugonjwa huu ni hatari zaidi ya ukimwi huua haraka sana ila nchi zilizoendelea hili wanalijua ila kwa technogy zetu watu hatujui mtu anaonekana na hizo dalili wanasema ni ukimwi akipona anasema miujiza. niliugua wakanipima HIV nikawa negative wakanipa kinga ya kuzia hepatitis A and B ila kama kuna dr mtalaam ndio anaweza kuwaelezea zaidi mimi sio dr anyway
hiyo kitu hakipo kabisa. toka lini mtu mchafu, mla rusha, mvunja sheria, mwanasiasa aniombee nipone. anyway kila mtu na imani yake siwezi kuwashawishi sana. mama lwakatare aniombee eti nipone?? ujinga huu, wenye kutoa sadaka kubwa eti ndio wakae mbele na wanaotoa vijisenti tukae nyuma ina maana hawa ndio watafika mbinguni mapema kuliko sisi?? eti tupande mbegu kama unataka kuombewa toa laki moja na ombi lako andika toka lini maombi yanunuliwe never never hii kitu siwezi kukubaliana na hii kitu endeleeni kuamini wenzenu wako kwenye ma ma vogue na nyie mnasema baba mchungaji na mama mchungaji. samahani niliowakwaza, nimeshaomba msamaha msinishambulie kabisa.
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,490
2,000

Mkuu UKI ninakuunga mkono unayoyasema huko kwetu nyumbani hatuna Vifaa vya kuchunguza maradhi Madaktari wetu wanatumia sana ujuzi wa elimu pasipo na Vifaa vya kisasa kama vilivyo huku nchi za ulaya. Hakuna cha Miujiza wala nini hicho ni kiine macho tu uongo mtupu wa Wachungaji wanatafuta Pesa kwa njia nyingi ila wapate watu kuwaamini.

Utapeli wa Wachungaji kwa jina la Mungu

Last edited by a moderator:

BAOBAO

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
1,875
1,250
jamani wala siwezi kuamini kabisa habari hii napita tu, kuna ugonjwa unaoitwa sijui hepatitis A and B mimi sio dk ila ugonjwa huu unadalili kabisa na ukimwi na unaua kama ukimwi ila bongo mtu akiugua huu ugonjwa wanasema ni ukimwi na maana nao ni upungufu wa kinga vile vile na unaambukizwa kwa njia ya kujamiana na unatibika na una sindano za kuzuia usiupate kama ukijulikana bongo sidhani kama hii services ipo na ugonjwa huu ni hatari zaidi ya ukimwi huua haraka sana ila nchi zilizoendelea hili wanalijua ila kwa technogy zetu watu hatujui mtu anaonekana na hizo dalili wanasema ni ukimwi akipona anasema miujiza. niliugua wakanipima HIV nikawa negative wakanipa kinga ya kuzia hepatitis A and B ila kama kuna dr mtalaam ndio anaweza kuwaelezea zaidi mimi sio dr anyway hiyo kitu hakipo kabisa. toka lini mtu mchafu, mla rusha, mvunja sheria, mwanasiasa aniombee nipone. anyway kila mtu na imani yake siwezi kuwashawishi sana. mama lwakatare aniombee eti nipone?? ujinga huu, wenye kutoa sadaka kubwa eti ndio wakae mbele na wanaotoa vijisenti tukae nyuma ina maana hawa ndio watafika mbinguni mapema kuliko sisi?? eti tupande mbegu kama unataka kuombewa toa laki moja na ombi lako andika toka lini maombi yanunuliwe never never hii kitu siwezi kukubaliana na hii kitu endeleeni kuamini wenzenu wako kwenye ma ma vogue na nyie mnasema baba mchungaji na mama mchungaji. samahani niliowakwaza, nimeshaomba msamaha msinishambulie kabisa.
UMESAMEHEWA BURE BILA SHAKA ! Kama unaamini Mungu alimwumba mwanadamu;atashindwaje kuondoa virusi moto vya ukimwi,kama mtengenezaji wa mwanadamu;ikiwa mtu anaweza kuondoa virus kwenye computer ? Ikiwa Mungu anaweza kutoa pepo au majini ndani ya mtu kwa muujiza tu;hawezi kushindwa kuponya ukimwi kwa miujiza,ukiamini rafiki ! Ushauri wangu,husiishie topic hii hapa JF;kwa sababu,chanzo chake nilitembelea www.bishopzacharykakobe.org
 
mkuu mimi napingana na kauli moja tu na ndio maana nipo kwenye msimamo wangu wa kupinga ni hivi je mtu mchafu anaweza kumuombea mgonjwa akapona? mchafu maana yake nini maana yake anaishi kwa unafiki anajifanya mtumishi wa mungu kumbe anatafuta pesa ya kwa ajili ya biashara yake, navyojua mimi mchungaji wa kweli ni yule ambae anaewachunga kondoo wake vyema kondoo wako mbele yeye nyuma huku akiwapeleka sehemu iliyo na malisho bora na kondoo wake wakapata afya njema na sifa na utukufu atapata mchungaji kwa malisho bora sasa hawa wachungaji wetu wao wanatangulia mbele kondoo nyuma nani atawaonyesha malisho bora kwa hawa kondoo?? no way please tusiishi kinafiki kabisa kabisa nitalipinga mpka mwisho. mchungaji anamiliki ndege, magari ila akitokea muumini anaumwa usafiri hata wa kumpeleka hospt akodi?? hili sitaki naomba nibake na imani yangu tu halafu siku nitakapokufa ndipo tutakapokutana huko huko kama kweli kupo tuone hukumu zinavyotolewa mtashangaa sana sema hutakuwa na muda wa kurudi duniani kuleta umbea.
 
Kiongozi Uki; nimekuelewa vizuri,maana hata Mimi nawachukia wanaoitwa watumishi wa Mungu na viongozi wa dini Wanafiki ! MNAFIKI NI MBWAMWITU, ADUI WA KONDOO ZA MUNGU.
 
Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,196
2,000
jamani wala siwezi kuamini kabisa habari hii napita tu, kuna ugonjwa unaoitwa sijui hepatitis A and B mimi sio dk ila ugonjwa huu unadalili kabisa na ukimwi na unaua kama ukimwi ila bongo mtu akiugua huu ugonjwa wanasema ni ukimwi na maana nao ni upungufu wa kinga vile vile na unaambukizwa kwa njia ya kujamiana na unatibika na una sindano za kuzuia usiupate kama ukijulikana bongo sidhani kama hii services ipo na ugonjwa huu ni hatari zaidi ya ukimwi huua haraka sana ila nchi zilizoendelea hili wanalijua ila kwa technogy zetu watu hatujui mtu anaonekana na hizo dalili wanasema ni ukimwi akipona anasema miujiza. niliugua wakanipima HIV nikawa negative wakanipa kinga ya kuzia hepatitis A and B ila kama kuna dr mtalaam ndio anaweza kuwaelezea zaidi mimi sio dr anyway
hiyo kitu hakipo kabisa. toka lini mtu mchafu, mla rusha, mvunja sheria, mwanasiasa aniombee nipone. anyway kila mtu na imani yake siwezi kuwashawishi sana. mama lwakatare aniombee eti nipone?? ujinga huu, wenye kutoa sadaka kubwa eti ndio wakae mbele na wanaotoa vijisenti tukae nyuma ina maana hawa ndio watafika mbinguni mapema kuliko sisi?? eti tupande mbegu kama unataka kuombewa toa laki moja na ombi lako andika toka lini maombi yanunuliwe never never hii kitu siwezi kukubaliana na hii kitu endeleeni kuamini wenzenu wako kwenye ma ma vogue na nyie mnasema baba mchungaji na mama mchungaji. samahani niliowakwaza, nimeshaomba msamaha msinishambulie kabisa.
Mkuu ni kweli kuna mambo mengine yana udhi sana, ila kuna wachungaji wengine ambao hawatilii maanani mambo ya fedha.Niliwahi kushudia kwenye TV kanisa moja la kilokole likichezea saikolojia za watu bila aibu: Mchugaji sijuhi nabii katamka eti kwa wale wasichana ambao wanataka kupata wachumba chapu chapu ebu leteni TSh10,000/- hapa mbele kwenye madhabau sio kwenye kikapu au box, niliona wasichana wakikimbia kwenda mbele kutoa pesa!!! baadae kidogo akasema na wale wenye TSh5,000/- nao walete yakarudia yaleyale - mwishowe kawambia atawaombea!! Mtu ukifikilia wasichana karibu wote ni walala hoi hizo pesa nizakubangaiza tu alafu mitume/manabii hao wa kileo wanakosa utu kwa kurubuni innocent girls wa-part na kidogo walicho nacho, hii akili gani lakini!

Muda wote wanazungumzia anasa za duniani i.e kununua magari, kujenga nyumba, kupandishwa vyeo, kupata mchumba, kupata fremu Kaliakoo, kutajirika, kuanzisha biashara nk; ni mara chache kusikia wanazungumzia amani ya roho, wanandoa kuishi kwa amani, malezi bora ya watoto. Wako overly concern na material things za hapa duniani kuliko thawabu za huko mbinguni.
 
  • Thanks
Reactions: UKI

jembe12

Member
Oct 18, 2012
59
0
Enyi kizazi cha nyoka msio na imani,ww mungu ndo aliokuumba ukiwa mzma wa afya na anasema nalikujua ungali tumboni ss kma anakufahamu na alikuumba mzma wa afya ashindwe nn kuponya hayo magonjwa(yohn 8:32 mtaijua kweli nayo itawaweka uhuru ukimwi is nothing to god,ww unayesema sijui mchungaji yupo fisadi ana dhambi yaan ungejua mungu wetu anatujua tu wa dhaifu kwaiyo ndo mana ukisoma(2nyakat 7:14 ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu watajinyenyekesha na kuomba na kuziacha njia zao na kunitafuta uso basi nitasikia kutoka juu na kuwasamehe dhambi),(waefeso 1:5 katika yy uyo kwa damu yake tunao ukombozi na msamaha wa dhambi) kwaiyo elewa kwamba ss tuwadhaifu na hayo madhaifu mungu hashindwi kutuponya kma tukimwendea kikamilifu na kwa imani ndugu zangu
 
BAOBAO

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
1,875
1,250
Kiongozi, ni kweli Mungu anaweza kubadilisha mbuzi kuwa kondoo;na uzao wa Nyoka kuubadilisha,hata kuwarudishia miguu na mikono yao kama alivyowaumba mwanzo !!!
 
Nasema

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
558
195
Mimi wala sijafuatilia mambo ya huyo Kennedy au Kakobe, lakini nafahamu na naamini YESU yu hai na bado anaendelea kuponya. Kwa kuwa haya ni mambo ya imani, tunaweza kubishana sana. Kwa kifupi niseme tu kwamba YESU yu hai, anaponya kupitia watumishi wake maana yeye aliwaambia wanafunzi wake "Amini nawaambieni, yeye aniaminiye mimi, kazi nifanyazo naye atazifanya, naam na kubwa kuliko hizo atazifanya". Hivyo watumishi wa Mungu wana uwezo wa kuponya kwa jina la YESU. Wapo kadhaa nawafahamu wamepona HIV kwa kumwamini Bwana na kuombewa.Wengine hawataweza kuamini labda hadi nao wawe na HIV kisha waambiwe wakienda kwa YESU watapona ndipo wataanza kuamini!!Tusibishe, YESU anaponya na hakuna asiloweza, tumwamini na kumjaribu ikibidi.
 
Bibie Nasema ikiwa hao Wachungaji Kennedy au Kakobe, wanaweza kuwaombea Watu wenye Virusi vya HIV na wakapona basi itakuwa ni jambo la maana itabidi wagonjwa wote wenye hivyo Virusi vya HIV waende kwa Wachungaji hao wawili Kennedy au Kakobe, mimi hicho kitu hakiwezi kuniingia akili hata kama Wanaofanya hayo wachungaji itakuwa ni kweli mimi siwezi kuamini kabisa basi kutakuwa hakuna haja ya kwenda mtu hospitali ukiumwa tu nenda kwa Mchungaji Kakobe au Mchungaji Kennedy akuombee ili upone ninafikiri na uongo wa hali ya juu na huenda kwa hao Wachungaji ikwa hadithi ya kama ya Babu wa lolindo .
 
Last edited by a moderator:

jembe12

Member
Oct 18, 2012
59
0
Kk yangu inaonyesha jinsi gani ulivyokuwa hauna imani,ayo ni mambo ya rohoni yaani kma ukiwa hauna imani utabisha hpo mpaka asubui swala la kuponya wagonjwa ilo linategemea na imani ya mgonjwa mwenyewe mm na amini kma mungu aliweza kukuumba ww basi elewa anauwezo wa kupoponya pia kupitia jina lipitalo majina yote jina la yesu ambalo kila goti litapigwa kubali ukatae ata kudhimu wanalijua
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom