Mtu ambaye amewahi kutibiwa tatizo la maumbile madogo (kibamia) na akapona anisadie

Hili ni tatizo kubwa, ila naona watu wanalichukulia simple japo hata hao wataotaka kukusadia huenda wengi wao watataka kukuingiza kingi tu!

Fanya hivi mkuu, tafuta mti unaitwa mgegea nasikia ipo mingi sana njia ya Dodoma -Kondoa-Babati, ukishaupata huo mti nitafute nikuelekeze kitu ukiwa huko huko naamini utapona na ukipona unikumbuke kaka
 
Nasikia siku hizi njia mpya ni kuandika tatizo halafu unakuja kulitatua kwa Id nyingine.

Siku ukisikia kuna tiba ya kuongeza kichwa kiwe kikubwa basi ulizia dawa za maumbile zitakuwa zimetoka nazo.

Hakuna tiba za maumbile. Ulivyo ndivyo nature imeamuwa uwe, tafuta atakayeridhika nawe nawewe uridhike naye, yupo.
 
Ikisimama urefu ni nchi 3.7+
Kipenyo ndio bado sijui namna ya kupima bu ni nyembamba somehow
Mpenzi wako hatakiwi kuwa na chura, pia anatakiwa awe na kizazi kifupi-kina kisiwe kirefu; utawatambua kwa kuangalia wembamba na ufupi wao
 
Huwa kunaupasuaji hufanyika kwa nchi za wenzetu,hasa hapo shina linapoanzia, sikushauri ufanye kwa sababu inawezekana baada ya muda fulani mzee akalala fofofo, cha kukushauri jaribu uwe na mpenzi mwenye kina kifupi
 
hako kabamia ni full guard ni ngumu sana kupata ngoma hiyo ndiyo faida ya vibamia pili wakati wa tendo we jenga tabia ya kulazia kwenye kuta za papuchi kwa juu hapo kwa sana ubavuni kulia na kushoto rejesha juu kwani by nature kristosis haipo ndani sana pia elewa nje nje ya papuchi ndiko kunakompa sana raha mwanamke ikibidi tumia ndimi yako kunogesha
 
Umeanza kulalamika siku nyingi sana mkuu, hebu nitumie picha ya penis yako pm ili nikupe majibu kama ni micro penis kama unavyodai.

NB: Mimi ni medical personel, usiri utazingatiwa, kumbuka kwenye matibabu hakuna kuona aibu.
 
Ikisimama urefu ni nchi 3.7+
Kipenyo ndio bado sijui namna ya kupima bu ni nyembamba somehow
Oya skia kidaka utamu cha mwanamke hakizidi inch 3 sa wewe una na usheeeh juu.

mwanangu tumia vizuri uume wako nakwambia mademu watakuganda balaa kwa sababu mbona wengi wanasaizi hio na maisha yanaenda fresh?

alafu sasa mademu wanapenda hivo mnavyoita vibamia kwakua haviwaumizi kwa ivo wanajituma saana na kuinjoi show kuliko dushe kubwa kwa kua wanaiiskilizia maumivu.

NOTE: wanaochwa na kusalitiwa sio wenye mashine ndogo bali hata wenye kubwa husalitiwa na demu akakimbilia kwa mwenye kibamia so badilisha mtazamo wako. Na wakati mwingine unawezachukuliwa demu na msagaji na demu akakusahau jiulize msagaji ana nchi ngapi?

lastly kibongo bongo hamna dawa usidanganywe labda huko mbele.
 
Duh mm nilihisi ni kibamia, kumbe sio. Sijui kama kuna dawa hasa huku ukubwani. Nakumbuka utotoni tulikuwa tuchanjia na miti mbali mbali ili iwe kubwa. Binafsi mimi ikiwa imelala ni 5.1 Inch
Ikisimama 7..1 inch
Mzunguko kati ya inch 5 hadi 6.
 
Aisee mkuu mm nakumbuka kwenye kuchakata papuchi nishawahi kukutana na mwanamke mwenye maumbile madogo Shombe flani hivi mwembamba mithili ya Miss na Hana urefu saizi ya Kati nikashindwa kabisa Kufanya chochote kile Tafuta wanawake wembamba wenye vimo vya wastani utakuja kunishukuru.
 
Kipenyo ndio bado sijui namna ya kupima bu ni nyembamba somehow
Kinachotakiwa kupimwa ni unene... yaani mzingo (circumference).

Chukua Uzi, zungusha kwny mb.o huo uzi hadi ukutane.
Pima huo uzi kwny rula kupata unene kwa cm, au inch
 
Kuna makabila kule Togo na Benin wana njia yao ya asili kuongeza urefu wa mjegeje kwa kuning'iniza uzito. Nakushauri Mathias_95 ingia kwenye internet na ufanye utafiti ujue zaidi
 
Back
Top Bottom