Mtu aliyesoma shahada ya sanaa na elimu je? Anaweza kufanya kazi gani nje ya ualimu

josewatano

Member
Sep 20, 2011
65
25
Jamani nauliza hivi mtu aliyesoma shahada ya sanaa na elimu je? anaweza kufanya kazi gani nje ya kufundisha
 
[h=2]....aliyesoma shahada ya sanaa na elimu ya chuo gani, Ustawi wa Jamii au MNMA?[/h]
 
Zipo nyingi tu,kwenye mabenki,kwenye mashirika mbalimbali yenye kazi zinazohusiana na masomo yako e.g,env. kama una geography,kwenye taasisi za kijamii ie social welfare n.k...kama una refarii bado ukiwa na digrii Tanzania unaweza kufanya kazi kibao,wako watu kibao wanapiga kazi ambazo hawakusomea na maisha yanasonga
 
Jamani tusiwe nyumba kwenye kuelewa maana ya elimu. Sio sahihi kila mtu kusoma udaktari wa binadamu au uhasibu. Kila kozi ina umuhimu wake kwenye jamii. kwa nchi zilioendelea kuna wanafunzie wanasoma BA Dance, MA Dance na hata PhD in Dance. Kuna watu wanasoma BA Music au cinema mpk level ya PhD. Hapa kwetu Tanzania hizo program hatuna wala wataalamu wa kuziendesha bado hatujawa nao. Kuna umuhimu wa kuwa na kozi zote zinaenedelea kwenye mataifa mbalimbali duniani ili na sisi tusonge mbele kimaendeleo. tofauti na hapo tutabaki nyumba milele, kama huyu anayeshangaa mtu anayesoma sana na ualimu.

Mtu anayesoma hiyo kozi anaweza fanya sanaa pekee, na sio lazima afundishe. Pia kwa kuwa atakuwa amepata elimu anaweza fanya kazi nyingine yoyote, kama kushauri watu wa sanaa na hata bank na maofisi mengine ya kawaida.
 
Bachelor of Science with Education(BSC.ED) au Bachelor of Arts with Education (BAED) inamwezesha mhitimu kuwa na utaalamu ambao ualimu ni nyongeza tu, wapo BED arts Bachelor of Education arts huyu ni Mwalimu wa masomo ya arts while BED science (Bachelor of Education science.) huyu ni mwalimu wa masomo ya sayansi.
 
No, vyuo vingi tu wanatoa hiyo course mfano UDSM, UDOM, na vingineko ambavyo vinatambulika na TCU
 
]Bachelor of Science with Education(BSC.ED) au Bachelor of Arts with Education (BAED)[/COLOR] inamwezesha mhitimu kuwa na utaalamu ambao ualimu ni nyongeza tu, wapo BED arts Bachelor of Education arts huyu ni Mwalimu wa masomo ya arts while BED science (Bachelor of Education science.) huyu ni mwalimu wa masomo ya sayansi.

Hao nao ni walimu 100%.
Nendeni mkafanye kazi mlizosomea.
OTIS.
 
Hvi m2 hadi unaamua kupoteza miaka yako 3 afu leo ndo unajidai kutaka kubadil fani,hukua na malengo au?ebu kafundshen vijana we2 huko bana.
 
yeye aliipokuwa anaanza kusoma alikuwa anataka kuwa nani!!!!? kusoma bila malengo sina shaka hata performance yake itakuwa mbaya sana!!!!
 
Humu ndani kuna ushauri mwingine ni sawa na nguvu za giza..mfano unapomuuliza kwanini alisoma hiyo kozi ya sanaa na ualimu ama eti labda alifeli sana,binafsi nahisi wewe ndo ulifeli

Mfano pale UDSM napopajua mimi ni kwamba hii kozi imo ndani ya kitivo cha sanaa na sayansi za jamii (CASS) na si ndani ya elimu

Hiyo ni moja,pili nakumbuka mwaka 2006 watu wengi waliingia hii kozi kufuatia kilaza wenu J.K kuwadanganya ya kwamba mikopo itatolewa 100% kwa watakaosoma udaktari,ualimu ama Kilimo,kabla ya kuwageuka hapo baadae na kuanza kutoa mikopo kwa mtindo mpya na wa kibaguzi wa 'Means Testing'

Hii ilipelekea wazazi na watoto wengi wasio na pesa za kifisadi kuona hizo ndo kozi za watoto wao kusoma,tofauti na walivyoambiwa na kuanzishwa kwa Means Testing,ilikuwa 2 feb,2006 tukiwa Diamond Jubilee J.K akatangaza hakuna atakayefukuzwa chuo kwa kushindwa kulipa pesa,ilipofika april Msolla alitoa tangazo vyuoni kwamba yeyote anayedaiwa hataruhusiwa kufanya UE,ndo mgomo ukaanza UDSM nzima na chuo kilifungwa kwa zaidi ya mwezi mzima mpaka tukarudi kwa masharti 9 ya Mkandara.

Leo hauwezi ukamuuliza mtu huyu kwanini ulisoma kozi fulani,utakuwa haumtendei haki,tuwe na kumbukumbu ya matukio ndo tutaweza kujua kwanini tuko hapa na wapi tulikotoka,tulipo na tunapokwenda...big up to all the Great thinkers!
 
hakuna m2 anae mdharau kwa kusoma hyo k2 bt c 2nashangaa kwamba,inakuaje m2 umekaa chuon for 3yrz afu hujui direction ya k2 unachokisomea hadi uanze kuhangaika kuulzia wa2.
 
Hacheni mambo ya ajabu nyinyi ualimu ni kupotezeana muda 2,mimwenye nimemaliza digrii ya ualimu saut ila sikuwa na moyo wa kufundisha saivi napiga kazi NMB as bank teller nakamshaara kazuri na hata nikitaka kukopa ntakopa hela ya ukweli lakini sio ualimu uko ukienda utaishia kunywa gongo na kushona vilaka ndugu yangu funguka.
 
sasa kaka kwanini ulangaika kufanya bachelor ya education au ni added advantage ya kupata kazi ya bank teller???....wanachouliza hapo ni kwanini usome bila malengo maana chuo sio shule ya msingi kaka.
 
Hacheni mambo ya ajabu nyinyi ualimu ni kupotezeana muda 2,mimwenye nimemaliza digrii ya ualimu saut ila sikuwa na moyo wa kufundisha saivi napiga kazi NMB as bank teller nakamshaara kazuri na hata nikitaka kukopa ntakopa hela ya ukweli lakini sio ualimu uko ukienda utaishia kunywa gongo na kushona vilaka ndugu yangu funguka.

kwa hyo we unaona sifa degree holder mzima kuwa bank teller,pole sana as hzo kazi cku hz znafanywa na form 4 tena wale walofel.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom