Mtu aliyesoma Diploma ya Physical Education unaweza kubadili asome kitu kingine?

Sheillah Sheillah

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
583
1,478
Habari.

Ni course gani unaweza kusoma Bachelor Degree tofauti na hiyo education in Physical Education?

Asanteni.
 
Sijui nani anawashauligi msome haya ma education, kila siku hamuachi kulialia

Na kuna wengine wamemaliza form 6 juzi nao watakimbilia Education

Hii nchi hii
 
Sijui nani anawashauligi msome haya ma education, kila siku hamuachi kulialia

Na kuna wengine wamemaliza form 6 juzi nao watakimbilia Education

Hii nchi hii
Katika tasnia bora ya kuanza nayo huku chini alafu uneweza ukachepuka kuelekea pengine ni hio Education

Yaani kama ni timu ya mpira tunaweza kuita huyu mchezaji ni kiraka...
 
Mbona hiyo akiendelea nayo atapata maulaji tuu baadae. Mambo yanabadilika
 
Sijui nani anawashauligi msome haya ma education, kila siku hamuachi kulialia

Na kuna wengine wamemaliza form 6 juzi nao watakimbilia Education

Hii nchi hii
Huwezi kujua potential ya waliosima ualimu km unafikiria ukiwa mwalimu utafundisha shule tu.. if you think beyond teaching education is a go to professional its potential to make you navigate other professions its amazing hear this from a teacher who is not teaching.
 
Back
Top Bottom