Mtu alieibiwa baraka au neema yake ya kuzaliwa (NYOTA)

KAPOLE

Senior Member
Sep 26, 2013
111
100
Nyota ni neema au kipawa anacho zaliwa nacho mtu tangu tumboni.mfano wa mtu ambaye yuko salama, utaona mtoto wa familia maskini anamaliza darasa la saba,, anafaulu anaenda kidato cha kwanza, anafaulu hadi chuo kikuu na anapata kazi nzuri anaenda kwao anaondoa nyumba za nyasi anajenga na umeme yaani anabadillisha historia ya kwao na hajui unganga ni nini. Sasa wenye husda wakiona wanamshungulikia wengine wivu wengine wanataka nafasi yake, na gafla anaanza kupata misukosuko anakosa kazi anaanza kutaabika anapotea hasikiki tena inabaki historia na ukienda kwake nyumba imechakaa na utitiri wa magari mabovu, huyu hakuwa na ulinzi wa Mungu.Na hao mnaowaona bungeni na mapete makubwa ndio ndio hasa wanatumia uganga na hizo pete ni ulinzi
 
Baraka Roman

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
692
0
Nilivyoanza soma nikajua mwishoni ntakutana na no za simu.Only God ndo atasafisha hizo nyota,huwa siamini kuusu hizo pete

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
2,206
2,000
Nyota ni neema au kipawa anacho zaliwa nacho mtu tangu tumboni.mfano wa mtu ambaye yuko salama, utaona mtoto wa familia maskini anamaliza darasa la saba,, anafaulu anaenda kidato cha kwanza, anafaulu hadi chuo kikuu na anapata kazi nzuri anaenda kwao anaondoa nyumba za nyasi anajenga na umeme yaani anabadillisha historia ya kwao na hajui unganga ni nini. Sasa wenye husda wakiona wanamshungulikia wengine wivu wengine wanataka nafasi yake, na gafla anaanza kupata misukosuko anakosa kazi anaanza kutaabika anapotea hasikiki tena inabaki historia na ukienda kwake nyumba imechakaa na utitiri wa magari mabovu, huyu hakuwa na ulinzi wa Mungu.Na hao mnaowaona bungeni na mapete makubwa ndio ndio hasa wanatumia uganga na hizo pete ni ulinzi

Baada ya kutoa taarifa hiyo Je, Ushauri wako ni upi kwa wasomaji wako?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom