CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 560
- 2,087
Wakuu nna ki tecno K7 natumia line ya Tigo karibia siku ya 6 leo watu wote wakinipigia wanaambiwa niko busy.. Na mimi siwez kuona hata missed call zao.. Ila naweza kupiga na kutuma msg.
Kupokea simu yoyote hata ya namba ngeni siwez na siioni.. Tatizo ni nini na nifanyeje? Kwenye setting sina call forwarding wala barring na sijablock number yoyote ile.
Nikitoa hyo line ya tigo nikaweka simu nyingine inafanya kazi fresh na nikiweka line yoyote kwenye hyo K7 inakuwa busy na yenyewe