Mtu akinipigia anaambiwa niko busy

CHIBA One

JF-Expert Member
Nov 16, 2018
359
1,000
Wakuu nna ki tecno K7 natumia line ya Tigo karibia siku ya 6 leo watu wote wakinipigia wanaambiwa niko busy.. Na mimi siwez kuona hata missed call zao.. Ila naweza kupiga na kutuma msg.

Kupokea simu yoyote hata ya namba ngeni siwez na siioni.. Tatizo ni nini na nifanyeje? Kwenye setting sina call forwarding wala barring na sijablock number yoyote ile.

Nikitoa hyo line ya tigo nikaweka simu nyingine inafanya kazi fresh na nikiweka line yoyote kwenye hyo K7 inakuwa busy na yenyewe
 

Roadmap

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
2,536
2,000
Moja ya simu mbovu kabisa Tecno k7 hapo kuna app tu ndo ime block incoming calls, Double check setting na uninstall apps ambayo huielewi
 

Bwana Mrefu

JF-Expert Member
Jul 17, 2018
277
1,000
Kama hiyo line husika unaitumia kwa data, na network mode umeset "4g only" basi hicho ndo chanzo!
Deactivate hiyo setting...DONE!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom