Mtu abisha hodi mchana, kwanini umuulize "wewe ni nani"?

Mimi tena ukishajieleza wewe nani, nakuuliza umefuata nini ?
Ndugu zangu tusiruhusu hii pumzi ya maisha itudanganye. Life is not a reversible reaction. Kama Mungu amekupa unafuu wa maisha, usiwe mkatili kwa wasio nacho maana yeye (Mungu) anaweza kumpa yeyote kwa wakati wowote
 
Ndugu zangu tusiruhusu hii pumzi ya maisha itudanganye. Life is not a reversible reaction. Kama Mungu amekupa unafuu wa maisha, usiwe mkatili kwa wasio nacho maana yeye (Mungu) anaweza kumpa yeyote kwa wakati wowote
Mimi naishi na mimea fulani ndani kwangu, masnitch ni wengi,ukikaa vibaya unaanza kutokea kwenye vyombo vya habari.

kuna jirani mmoja alishawahi kunichongea kwa mwenye nyumba eti kuna harufu,mpaka kuja kuliua soo miezi miwili na bado nikafukuzwa
 
Nilifundishwa na baba yangu

mtu akija kumtafuta lazima nimdodose kwanza maswali ya kipelelezi

Yeye ni nani, anatoka wapi na anahitaji nini!

Pili, Jibu langu ni kumwambia subiri 𝐧𝐢𝐤𝐚𝐨𝐧𝐞 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐲𝐮𝐩𝐨, wakati mzee yupo katulia ndani😄😄

hapo ndo naenda nampa Report za mgeni alieko nje! akiwa haja mind kuonana nae basi ndio imekula kwake, jibu ni BABA HAYUPO🤣🤣🤣

HII TABIA NISHAWAAMBUKIZA WANANGU!
 
Mimi naishi na mimea fulani ndani kwangu, masnitch ni wengi,ukikaa vibaya unaanza kutokea kwenye vyombo vya habari...kuna jirani mmoja alishawahi kunichongea kwa mwenye nyumba eti kuna harufu,mpaka kuja kuliua soo miezi miwili na bado nikafukuzwa
Hapo nimekuelewa mkuu
 
Hapana sio ubinafsi isipokuwa muulizaji ataka kumjua aliekuja ni nani je anaweza kufungua na kuongea nae ktk stara aliyonayo au akaongeze stara ili aweze kumfungulia na kuongea.

Mfano ni hivi anaebisha hodi ni mume alieko ndani ni mke anauliza wewe ni nani akijuwa kuwa ni mume atatakiwa aongeze stara kuliko ambavyo ingetakiwa kutoka kama anaepiga hodi ni jinsia sawa na alie ndani
 
Hapana sio ubinafsi isipokuwa muulizaji ataka kumjua aliekuja ni nani je anaweza kufungua na kuongea nae ktk stara aliyonayo au akaongeze stara ili aweze kumfungulia na kuongea. Mfano ni hivi anaebisha hodi ni mume alieko ndani ni mke anauliza wewe ni nani akijuwa kuwa ni mume atatakiwa aongeze stara kuliko ambavyo ingetakiwa kutoka kama anaepiga hodi ni jinsia sawa na alie ndani
Ahsante, nimekipata 🙏🏿
 
Hata simu kama namba ngeni ni lazima uulize NANI MWENZANGU?
Itakuwa nyumba
Nyumba zimewekwa mpaka camera kukuangalia na kama hakujui anakuuliza bado wewe nani ?

Zingine zina tundu dogo la kukuangalia wewe nani
Na yote hayo sio kwa ubaya bali kujua ni nani kaja kwako
 
Uzunguni ukienda kichwa kichwa maeneo mengine unakula risasi

Waafrika wanajifacha wakarimu kumbe wanaingiza vibaka ndani
 
Kwangu ukija simu ipo getini lazima ujitambulishe vya kutosha ndo uingie, kama sivyo geuza rudi ulipotoka.
 
Mimi naishi na mimea fulani ndani kwangu, masnitch ni wengi,ukikaa vibaya unaanza kutokea kwenye vyombo vya habari...kuna jirani mmoja alishawahi kunichongea kwa mwenye nyumba eti kuna harufu,mpaka kuja kuliua soo miezi miwili na bado nikafukuzwa
Unamaanisha cannabis? Umetisha mkuu umenikumbusha anko wangu
 
Back
Top Bottom