Pole sana bibie ningekushauri umpeleke hospitali kwa Daktai wa watoto ili apate kumuangalia vizuri mafizi yake huenda anataka kuota meno mapema maimatha ingawa hujatuambia ana umri gani mtoto wako?hbr zenu jmn!
mtoto wangu fizi zake sizielewi zimejikata kata kama anameno yaan zimejigawa alama za meno yaan cjui nieleze je ngoja nitume na picha mnisaidie
hbr zenu jmn!

it will be good kumplekea hospitali,
kuna maswali mengi kuliko majibu kwenye hiyo picha... na hujasema hata mtoto ana umri gani
mwezi na nusu
anamwezi na nusu na nimemzaa hivi hivi
Ana mwezi na nusu au mwaka?Halafu hauko serious atii yani umemzaa hivyo na bado unakaa nae hivyo kwanini haujampeleka hospital?
HF unapigaga viroba mamii??
ameshasema umri ni mwezi na nusu. Sasa mwaka umeona wapi dogo?
Hapana sinywagi kabisa ila kwenye picha namuona kama mtoto mkubwa sana asije akawa amechanganya mambo