Mtoto wangu jamani!!!! nisaidieni

maimatha

Senior Member
Mar 2, 2013
129
161
Habari zenu jamani!
Mtoto wangu fizi zake sizielewi zimejikata kata kama ana meno yaani zimejigawa alama za meno yaan cjui nielezeje, ngoja nitume na picha mnisaidie
 
Attachments

  • IMG_20141205_163809.jpg
    IMG_20141205_163809.jpg
    273.8 KB · Views: 588
Usisubiri ushauri wa humu tena weekend ndio imeanza watu wameishaanza kujirusha hebu mpeleke hospital uonane na doctor wa kinywa Mzizi mkavu na watu8 njooni mara moja huku
 
Last edited by a moderator:
Pole sana! Humu kuna madokta wazuri ila mabush dokta wapo wa kumwaga
 
hbr zenu jmn!
mtoto wangu fizi zake sizielewi zimejikata kata kama anameno yaan zimejigawa alama za meno yaan cjui nieleze je ngoja nitume na picha mnisaidie
Pole sana bibie ningekushauri umpeleke hospitali kwa Daktai wa watoto ili apate kumuangalia vizuri mafizi yake huenda anataka kuota meno mapema maimatha ingawa hujatuambia ana umri gani mtoto wako?
 
Last edited by a moderator:
hbr zenu jmn!
mtoto wangu fizi zake sizielewi zimejikata kata kama anameno yaan zimejigawa alama za meno yaan cjui nieleze je ngoja nitume na picha mnisaidie

Hizo ni tooth bud (viini vya meno), kadri vinavyokomaa ndiyo muda wa kuchomoza meno unafikia. Kipindi hiki mtoto anawashwa sana na fizi, kuna dawa inaitwa Ashton Powder, ni ya Unga unamwekea kwenye maji ya kunywa inapunguza hali ya kuwashwa kwa fizi. Pia anaweza kutumia Chussnee safi kwa kusugulia fizi zake.
 
Pole sana bibie ningekushauri umpeleke hospitali kwa Daktai wa watoto ili apate kumuangalia vizuri mafizi yake huenda anataka kuota meno mapema maimatha ingawa hujatuambia ana umri gani mtoto wako?

anamwezi na nusu na nimemzaa hivi hivi
 
Last edited by a moderator:
Kama haumwi wala hajisikii vibaya nionavyo huna sababu ya kuwa na wasi wasi mkubwa....lakini ukipata ushauri wa wataalamu ni vyema sana.
 
hbr zenu jmn!
mtoto wangu fizi zake sizielewi zimejikata kata kama anameno yaan zimejigawa alama za meno yaan cjui nieleze je ngoja nitume na picha mnisaidie

it will be good kumplekea hospitali,

kuna maswali mengi kuliko majibu kwenye hiyo picha... na hujasema hata mtoto ana umri gani
 
Ana mwezi na nusu au mwaka?Halafu hauko serious atii yani umemzaa hivyo na bado unakaa nae hivyo kwanini haujampeleka hospital?

HF unapigaga viroba mamii??

ameshasema umri ni mwezi na nusu. Sasa mwaka umeona wapi dogo?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom