Nailaswrty
Member
- Jul 13, 2020
- 20
- 28
Naitwa naila naishi kibaha. Mimi ni mama wa mtoto mmoja nimemzaa tarehe 20/05/2020 mpaka sasa mtoto wangu anakama siku 49 kama sikosei.
Lakini mpaka sasa haonyesh kama anaona maana nikimuangalia haniangalii wala nikipita kwnye uso wake hanifwati kuangalia sura hata nikimuwekea mdoli juu hauangalii anaangalia kwengne tofauti. Je labda mtoto huchukua mda kuona??