Mtoto wa rais wa Rais mstaafu Zambia Banda, akamatwa

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Habari zilizotufikia ni kwamba mtoto wa rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda aitwaye Andrew kutokana na shutuma za ufisadi aliofanya chini ya utawala wa baba yake.

Kwa mujibu wa taarifa toka Zambia ni kwamba kijana huyu alikuwa akiwa na maelfu ya dola na euro kwenye akaunti yake lakini alishindwa kutoa maelezo ya jinsi alivyoipata.

Hili ni somo kwa wake, familia na watoto wa watawala wetu kuwa baada ya madaraka lolote laweza kutokea.


===========================
Zambian investigators on Thursday arrested a son of former president Rupiah Banda for corruption and possessing assets bought with dirty money, a police spokeswoman said.

"Andrew Banda has been formally arrested and charged for corrupt practices and being in possession of property suspected to be proceeds of crime," Namukolo Kasumpa, spokeswoman for the criminal investigations department told reporters.

Banda, currently his country's deputy high commissioner to India, was arrested barely 24 hours after police took a statement from him.

Andrew is the eldest son of former president Banda, who lost to opposition leader Michael Sata in September.

He is accused of charging Italian construction company Fratelli Locci two percent of all its earnings for building roads.

Authorities also say Banda couldn't explain the origin of 360 million kwacha ($67,000, 54,000 euro) in his bank account, money suspected to come from criminal activity.

He was released on bail, his lawyer Sakwiba Sikota told reporters.

Rupiah Banda had little comment on his son's arrest, saying he had not been in touch with him for "a long time now so I am not really following what is happening."

"But the courts have many people's sons and daughters, everybody goes before the police so let's not make this an issue," he told reporters.

Andrew's younger brother Henry, is on the run from authorities, also on corruption charges, and thought to be in hiding in South Africa.

Since winning last year's election, President Michael Sata has launched a broad crackdown on corruption.

Several high ranking politicians and former ministers are facing various charges of graft, in what has been described by Sata's opponents as a political vendetta.

Last week the former labour minister in Banda's government was jailed for two years with hard labour on corruption charges.


Source: nation.co.ke
 
Wakubwa!.....ukiona mwenzako kanyolewa zako anza kutia maji..,huu ni ujumbe wangu kwa akina Riz 1,nikisema hivyo simaanishi kuwa ninaushaidi wa moja kwa moja,hapana,...ispokua kwa maneno niyasikiayo watu wakitaja kwenye mitandao juu ya mali uzonazo ghafla tangu mzee wako aingie madarakani.hivyo basi anza kujianda maana 2015 si mbali.HIZI NI SALAMU ZANGU KWAKO
 
Fantastic... 2015 tutaangalia watoto wa wengi na Viongozi Vijana Wengi... Mmmm Sijui tutaita INTERPOL sijui CIA

Lazima tuchokonoe kote tuzipate pesa zetu; Yaani Kaka na Dada wote powerful Nchini; Mme wa Dada Anafanya kazi

kwenye Machimbo ya GOLD; Mmmm hizo hela tukipata zijenge Barabara na Umeme...
 
[h=3][/h]

icac-zambia-andrew-banda-2012-01-04-1005.jpg

Habari zilizotufikia ni kwamba mtoto wa rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda aitwaye Andrew (pichani) kutokana na shutuma za ufisadi aliofanya chini ya utawala wa baba yake. Kwa mujibu wa taarifa toka Zambia ni kwamba kijana huyu alikuwa akiwa na maelfu ya dola na euro kwenye akaunti yake lakini alishindwa kutoa maelezo ya jinsi alivyoipata. Hili ni somo kwa wake, familia na watoto wa watawala wetu kuwa baada ya madaraka lolote laweza kutokea. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

Kila kitu anachokifanya binadamu lazima kiwe na faida au hasara sasa hapo inategemea ni kipi kimezidi unga.Akamatwe tu na sisi huku Tz tuige mfano huu 2016 chagua upinzani kamata wezi wote weka ndani
 
Your Excellence President Michael Chilufya Satta, I SALUTE YOU!! this is a kind of president we want in Africa. Sasa tuje TZ Riz1 jiandae na hii si kwa watoto wa Maraisi tu.. hata watendaji wakuu na watoto wao na marafiki zao Pia hapa Tanzania Pinda jiandae tunajua umejificha nyuma ya SUMRY BUS unakula taratiiiibu kodi zetu na sasa mmenunua kampuni nyingine MBEYA EXPRESS kupotezea ushahidi, pia NYALANDU, MAIGE, MKULO, Omari Nundu a.k.a Ommy Dimpoz mtatueleza vizuri mlipopeleka pesa zetu. Zaidi we mwarabu wa HOME SHOPPING CENTRE endeleza huo mchezo wako mchafu wa kufanya dili na familia ya mkulu na kutishia watu wa TRA na TPA,siku yako yaja.
 
Rais Satta ndo Rais aliye madarakani Zambia ndio aliyewafikisha wala rushwa kwenye mkono wa Sheria akiwepo waziri wa zamani wa Kazi ambae alikutwa amefukia Pesa Shamabni mwake. Toka ameingia madarakani amefanya makubwa ikiwamo kupunguza safari za Rais nje ya nchi kama sijakosea toka aingie madarakani 2011 hajasafiri nje ya nchi zaidi ya mara 3 (mlinganishe na JK toka Januari 2012 amesafiri nje ya nchi mara ngapi? Marekani, Brazili, Botswana, Ethipoia, Uswisi etc....) Rais Satta ameshaalikwa nje ya Nchi yeye hutuma Waziri au Mzee Kaunda kwenda kumuwakilisha namuona Satta kama mtunukiwa wa Tunzo ya Nobel or Mo Ibrahim hivi karibuni. Sisemi ati hizo tunzo ndo kiwango cha utendaji wa kiongozi/mtu bali ni alama ya kuonyesha kuwa mchango wake umetambulika nje ya mipaka ya nchi anakotoka muhusika. Zaidi anajihakikishia kuchaguliwa muhula mwingine kupitia sanduku ya kura....YOTE KWA YOTE ZAMBIA WAMEPATA RAISI WA AINA YAKE. Next time nitakuja na mada kuwa na Rais/kiongozi mzee si mzigo kama waTZ tunavyofikiri bado nakamilisha ka-utafiti kangu......nikichukulia mifano ya SATTA,MANDELA,KIBAKI...vs JK, Obama, Rajoulina (madagascar),, Mwigulu Nchemba,Benno Malisa, Nape, Maige, Ngeleja......Asanteni
 
=MwalimuZawadi;3974934]Usiangalie sura, angalia akaunti mkuu
OYA HAPENDWI MTU!lol
 
UKAWA ingeshinda ni wazi mtoto wa mfalme angesukumwa mahakamani, ila kwa ilivyo natia shaka
 
Back
Top Bottom