Mtoto wa Osama Bin Laden | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa Osama Bin Laden

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, May 6, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Wakati dunia ikiwa na shauku ya kujua kama kweli Osama kauwawa mtoto wake na Osama Bin Laden yeye anajirusha na kimada wake kwenye nchi za magharibi.
  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. N

  Nguto JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,657
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 280
  Jamani mtoto wa Osama ana kosa gani? Huyu mbona alishatangazia ulimwengu kuwa hapendi itu ananyofanya baba yake!!! Ndiyo maana yuko uingereza anaishi bila shida ma mke wake muingereza. Au ni mwingine?
   
 3. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mi naona poa tu!!
   
 4. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,089
  Likes Received: 885
  Trophy Points: 280
  kumbe ile ya mtoto wa nyoka ni nyoka hiwork out kwa wenzetu.......... ila bongo kwetu inafanya kazi. mfano jk na riz1,kimjinimjini.
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,538
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  damu nzito kuliko maji,ila ameona babake anafanya upuuzi akampotezea nampongeza sana,
  si kama watoto wa mjini wanavyoshirikiana na baba zao kwenye ufisadi
   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  imekaa vzuri ukizingati babaa kauliwa na makomandoo na wamemzikia baharini
   
 7. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Picha za zamani sana hizi, karibu miaka mitatu iliyopita, tafuta source @ google utapata information.
   
 8. N

  Nonda JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
 9. serio

  serio JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,927
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  anajua baba yake hajafa,.no stress.!!
   
 10. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Ukiishi na makafiri wenye akili za nguruwe na wewe utakuwa nguruwe
  ngroooo pua kubwa
   
 11. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  sasa wewe ulitaka acjiachie mwache ale maisha
   
Loading...