Mtoto wa Nursery

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
Katika daladala katoto kanursery kanaimba. 1-kama baba angekuwa jogoo na mama mtetea mimi ningekuwa kifaranga abiria wote kimya 2-baba angekuwa beberu na mama mbuzi mimi ningekuwa ndama. 3-konda akaona kana mzingua akamuuliza kama babaako angekuwa mlevi na mamaako angukuwa malaya wewe ungekuwa nani? 4-Katoto kakajibu ningekuwa konda wa daladala hapo abiria wote wakacheka
 
3-konda akaona kana mzingua akamuuliza kama babaako angekuwa mlevi na mamaako angukuwa malaya wewe ungekuwa nani? 4-Katoto kakajibu ningekuwa konda wa daladala hapo abiria wote wakacheka
Nimempenda mtoto huyo kwani ana akili ya haraka kung'amua tatizo la kulitolea ufumbuzi sahihi. Hii nzuri
 
Katika daladala katoto kanursery kanaimba. 1-kama baba angekuwa jogoo na mama mtetea mimi ningekuwa kifaranga abiria wote kimya 2-baba angekuwa beberu na mama mbuzi mimi ningekuwa ndama. 3-konda akaona kana mzingua akamuuliza kama babaako angekuwa mlevi na mamaako angukuwa malaya wewe ungekuwa nani? 4-Katoto kakajibu ningekuwa konda wa daladala hapo abiria wote wakacheka

Hapo katoto kalimaliza kila kitu, hakuna aliyethubutu kukaulizia, ulizia maswali, safi hiyo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom