Mtoto wa nje ya ndoa ni mtoto wako, usimfiche

Basi kungekuwa hakuna ndoa mkuu.
Kwani Tanzania ndoa imaenza lini???
Ndoa ni alama tu ya wivu, ndoa haitoki kwa Mungu na sio mpango wa Mungu, ni utaratibu tu kuuza na kununua watoto wa kike ili kuwamiliki, na pesa ya mauziano inaitwa mahari. Wazazi wakiipata hiyo fedha wanaitumia kama fedha nyingine tu, kama ni ng'ombe wanawakamua, kuwauza au kuwachinja kama ng'ombe wengine. Yaani kwa mtindo wa ndoa mtoto wa kike alikuwa chanzo cha mapato kwenye familia sawa na vyanzo vingine tu kama kuuza punda, mbuzi, kuku na vinyago.

Mpango wa Mungu kwa viumbe wote ni mume na mke waliobalehe kuzaa watoto. Mungu sio mjinga, aliweka alama za kutambulisha ni mke yupi na mume yupi amebalehe hivyo kuhitaji kuzaa (sio kuolewa). Hii ya kusema afikishe miaka 18 sijui 20 mara 22 ni upuuzi tu wa binadamu.

Naa ukitaka kujua ni upuuzi tu wa binadamu mwenyewe ni pale unapomuona mfugaji akifurahia mbuzi wake, miembe yake, ngano yake, kuku wake na mihogo yake inapoanza kuzaa na umri mdogo kabisa, ataisifu mbegu hiyo hadi basi. Hii inaonyesha kuwa kuzaa mapema ni kuzuri sana lakini kwa upuuzi wa binadamu wa sasa anasema kwa binadamu sio kuzuri ila ni kuzuri kwa ng'ombe wake, nonsense.
 
Acha uhongo
Mkuu wewe huna sifa zote zinazomzuia mkeo asimpende, asimkumbuke na asittembee na mume mwingine, una kasoro nyingi nyingi ambazo amezikinai, amezichoka au hazipendi kabisaa. Hakuna mke au mume wa peke yako. Hivyo kama ikitokea hivyo usimkatae mwanao, usimfiche mwanao na usiache kumtunza mwanao, ni halali kabisa. Usisubiri mkeo afe muachane au wewe ufe ndio anajitokeza.
 
Back
Top Bottom