Mtoto wa mzee alantes kalazwa anahitaji sala zetu!

Tango73

JF-Expert Member
Dec 14, 2008
2,128
1,225
Mfalmewa soka Pele, kalazwa hospitali akisumbuliwa na malazi ya uzeeni kwa hivi sasa. Naomba aaamvi tumuombee maisha marefu huyu mzee Edison Alantes Dodasimento-Pele apate affya njema. Amen
 
Ugua pole Pele- Bado ananikumbusha mechi ya Brazil na Italy mwaka 1970!
 
Hii ingefaa zaidi ipelekwe kwenye sport, huku mnatuchanganya tu. Anafaida gani kwetu huyo? RIP MWL NYERERE.
 
Back
Top Bottom