Zanzibar 2020 Mtoto wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ni Mshauri wa Mgombea Urais wa CCM Dkt. Hussein Mwinyi

Unaota mchana, hivyo sivyo mchezo ulivyo.
Lazima Raisi wa Zanzibar atokee chama former ASP(CCM)
Sharti la pili awe na damu ya utanganyika asilia

Sharti la tatu asizaliwe Pemba au kutoka Pemba.
Na hayo sio masharti ya CCM la hasha, haya ni masharti ya waliounda Muungano katika siku 100,wala si Nyerere wala Karume.Waulize Washington au London.

Kila uchaguzi Maalim hapewi ushindi na bado anagangania kugombea mfululizo bila jawabu.
Halafu mnashangilia ushetani kama huu kuendelea duniani .

CCM ni chama cha kilusifer .
Marekani taifa la Mabeberu lilojaa ubaguzi mkubwa lakini wanajitahidi kuupunguza kwa kila namna mpaka waafrika wanashika nchi na Kuongoza majimbo mengi sembuse CCM chama cha wezi.
Haki haipatikani bila kila upande kulia na kuona adha ya dhulma.

Hata Mungu hajawahi kuruhusu duniani wanadamu kupata raha kwenye dhulma .Kamwe duniani hapatakua na amani bila haki. Msitegememe rasilimali alizoziumba Mungu kuzitumia peke yenu kwa kudhulumu wengine haitakuja kudumu hiyo dhulma etu Zanzibar yetu . CCM haijaumba hata Chawa sembuse Kisiwa chenye utajiri.

Waarabu na Waafrika Zanzibar walihamia.
Hakuna Mwafrika asili mwenye hulka ya kukaa kisiwani pasipo na misitu wala Mbuga za kuchunga ng'ombe.

Haiwezekana Watu wapiganie Uhuru kudai haki na kisha wao waendeleze dhulma halafu waitegemee kutawala. Shetani na dhulma zake kutawala duniani sasa basi.
 
Mwenyekiti wa NEC 2015 alikuwa shemeji yake Lowasa ila hatukuona CCM wakilia lia , nyie hamna jema, kwa hiyo mtu akiwa mwenyekiti au mjumbe wa NEC au ZEC ndugu zake wote wasishiriki siasa.

Kwa mantiki hiyo hiyo hata ndugu wa Mbowe hawatakiwi kushiriki chochote CDM, ndugu wa Magu hawaruhusiwi kushiriki chochote CCM, akili matope kabisa hizi.
 
Aliyevaa koti ni Azizi Hamid Mahmoud, mtoto wa Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC)

Huyu Azizi ambaye ni Mwanasheria, ndiye mshauri wa kisheria wa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM.

Inasemwa kwamba haki sio tu itendeke bali ionekane inatendeka. Kwa hili la Uchaguzi huru na wa haki je?
Nchi imeharibiwa sana hakuna utawala wa haki na sheria. Tusiwe washabiki wa dhulma; ni makosa makubwa, ni sawa kuanza kula nyama ya Binadamu, haitaishia hapo! Ukimaliza wapinzani utaanza kudhulumu ccm wenzio, kwani hatujashuhudia haya?
Nape Nauye aliwahi kunyooshewa bastola mchana kweupeee na maccm wenzake.
 
Aliyevaa koti ni Azizi Hamid Mahmoud, mtoto wa Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC)

Huyu Azizi ambaye ni Mwanasheria, ndiye mshauri wa kisheria wa Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM.

Inasemwa kwamba haki sio tu itendeke bali ionekane inatendeka. Kwa hili la Uchaguzi huru na wa haki je?
Dr Hussein Mwinyi atajuta kwa nini alikubali kuteuliwa kuwa mgombea wa ZNZ. Kwanza Dr Hussein kwa haiba yake si mtu anayeziweza siasa za visiwani. Pili wana CCM ZNZ pia hawamkubali kwa kuwa hakuwa chaguo leo. ZNZ yenyewe haijui kwa vile 90% ameishi Tanganyika ambako amewahi kuwa Mbunge wa Mkuranga.
 
Halafu mnashangilia ushetani kama huu kuendelea duniani .

CCM ni chama cha kilusifer .
Marekani taifa la Mabeberu lilojaa ubaguzi mkubwa lakini wanajitahidi kuupunguza kwa kila namna mpaka waafrika wanashika nchi na Kuongoza majimbo mengi sembuse CCM chama cha wezi.
Haki haipatikani bila kila upande kulia na kuona adha ya dhulma.

Hata Mungu hajawahi kuruhusu duniani wanadamu kupata raha kwenye dhulma .Kamwe duniani hapatakua na amani bila haki. Msitegememe rasilimali alizoziumba Mungu kuzitumia peke yenu kwa kudhulumu wengine haitakuja kudumu hiyo dhulma etu Zanzibar yetu . CCM haijaumba hata Chawa sembuse Kisiwa chenye utajiri.

Waarabu na Waafrika Zanzibar walihamia.
Hakuna Mwafrika asili mwenye hulka ya kukaa kisiwani pasipo na misitu wala Mbuga za kuchunga ng'ombe.

Haiwezekana Watu wapiganie Uhuru kudai haki na kisha wao waendeleze dhulma halafu waitegemee kutawala. Shetani na dhulma zake kutawala duniani sasa basi.
Tatizo wewe unalichukulia hili jambo juu juu .Laiti ungejua nani alilazimisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar .Hao wanaotajwa kwamba ndio waasisi wa Muungano ni kiini macho.
 
Unaota mchana, hivyo sivyo mchezo ulivyo.
Lazima Raisi wa Zanzibar atokee chama former ASP(CCM)
Sharti la pili awe na damu ya utanganyika asilia

Sharti la tatu asizaliwe Pemba au kutoka Pemba.
Na hayo sio masharti ya CCM la hasha, haya ni masharti ya waliounda Muungano katika siku 100,wala si Nyerere wala Karume.Waulize Washington au London.

Kila uchaguzi Maalim hapewi ushindi na bado anagangania kugombea mfululizo bila jawabu.
Sharti lako la tatu ni big NO , Dr. Shein kwao ni Pemba. Usipotoshe watu bwamkubwa.
 
Kwa kuongezea ni kwamba Kuna wataslam wa kuiba kura ambao 2015 walikuwa kwenye nyumba masaki wakibadilisha kura zilizotoka nchi nzima , wamepitishwa bila kupingwa kwenye ubunge ili waende kusaidia goli la mkono Zanzibar this is from reliable source.
Kipindi hiki ukiongea jambo lolote negative kuhusu uchaguzi utajizolea likes za kutosha hata kama hakuna uhalisia
 
Back
Top Bottom