Mtoto wa Mwaka Mmoja Mwenye Mimba Awashangaza Madaktari China | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa Mwaka Mmoja Mwenye Mimba Awashangaza Madaktari China

Discussion in 'JF Doctor' started by Mbonea, Sep 24, 2009.

 1. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33


  Mtoto Kang Mengru

  Madaktari nchini China walipigwa na butwaa baada ya kugundua kuwa mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja ambaye alipelekwa hospitali baada ya tumbo lake kuzidi kuwa kubwa, alikuwa na mimba ya kichanga kingine. Picha za mtoto huyo mwisho wa habari hii.


  Madaktari wa nchini China walishangazwa kuona mtoto wa mwaka mmoja ana ujauzito.

  Mtoto Kang Mengru wa nchini China alipelekwa hospitali baada ya wazazi wake kushtushwa na hali ya tumbo lake kuzidi kuwa kubwa siku hadi siku.

  Baada ya mtoto huyo kufanyiwa ultrasound, madaktari waligundua kuwa mtoto huyo wa kike alikuwa amebeba kitoto kichanga kwenye tumbo lake ambacho kilikuwa kikiendelea kukua.

  Madaktari wanaamini kuwa mama wa mtoto huyo alikuwa na mimba ya watoto wawili mapacha na pacha mmoja alijitokeza ndani ya tumbo la pacha mwenzake.

  Hali kama hiyo ya kichanga kuzaliwa ndani ya kichanga kingine ni nadra sana kutokea na humtokea mwanamke mmoja katika wanawake 500,000.

  Mtoto Kang atafanyiwa upasuaji kukiondoa kichanga hicho tumboni mwake.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Expired!
   
 3. m

  muhanga JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  du yaelekea wazazi walikuwa wanachapana miti hadi mbegu zinapitiliza kutoka kwenye uke wa mama hadi kumfikia uke wa mtoto, huyu baba lazima awe na mtambo wa nguvu kuliko mhogo wa jang'ombe! hee au ndo dawa za kuongeza kuvu za kiume hizo??? am speechless:eek::eek:
   
Loading...