Mtoto wa Msukuma apata 'A' zote kwenye matokeo ya kidato cha pili

Hizi no result za wapi zinazotoka na majina ya watainiwa badala ya number zile za NECTA sijaiona majina
 
Duuh nakumbuka miaka hiyo form two nilipata A tatu.

Hii ni zaidi ya balaa.
 
Hebu kwanza tupate aina ya maswali yaalioulizwa kwanza,isije kuwa ni Yale ya ;a) sita,b)kumi,c)name,,,,na jibu ni a na umepata A
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom