Mtoto wa mkulima(pinda), mkuchika, kamtibu mkuu miundombinu na mpango wa unyang'nyi!!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa mkulima(pinda), mkuchika, kamtibu mkuu miundombinu na mpango wa unyang'nyi!!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mimiz, Mar 7, 2011.

 1. m

  mimiz New Member

  #1
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ufisadi wa anayejiita mtoto wa mkulima - Mizengwe Pinda umeonekana wazi kwa wananchi baada ya katibu mkuu wa miundo mbinu kutoa vitisho kwa wakazi wa Gerezani Kariakoo na kusema wazi kuwa ametumwana waziri mkuu!!!

  Wakazi hao wamekua wakipokea vitisho na kulazimishwa waondoke kwenye eneo hilo kwa muda sasa .......

  Msuguano huo ulianza tu baada ya wakazi hao kutaka kundeleza makazi ya eneo hilo ambapo waliomba mkopo benk ya dunia ili wajenge magorofa ya kisasa ambayo yatakua vitega uchumi na makazi ya yao!

  Kuna idadi kubwa ya mafisadi wakiwemo viongozi wa juu wa nchi ambao baada ya kujuampango hoo wamekua wakitaka kuchukua eneo hilo lipatalo heka5 kwa kisingizio kwamba wanataka kujenga kituo cha mabasi yaendayo kasi........

  Wamilik wa eneo hilo wako tayari kuwapa heka moja(1) kwa matumizi ya kituo lakini mafisadi hao akiwamo waziri mkuu wanaoneka kutaka kutumia vyeo vyao kuwapora wananchi hao eneo hilo

  WAZIRI MKUU ONA AIBU NA UMWOGOPE MUNGU!!! ACHA KUSAIDIA MAFISADI KUWADHLUMU MASKINI
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Bado tutaona mengi sana!
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Bado tutaona mengi sana!
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  maelezo yako hayajitoshelezi.LABDA UNGEONGELEA KUWA wanagerezani wamechezewa rafu mahakamani ningekuelewa.
   
 5. n

  nyanungu magena Member

  #5
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  hahahahahahahhahahaha,inatisha iyo kumbe ndo mnavyodanganywa kuwa pinda kuwa mtoto wa mkulima jamaa uyo ndiye daraja la kupita mafisadi afu anakera kweli ndiyo maana ansema uongo bungeni,waziri mkuu uchwara uyoooooooo.
   
 6. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2011
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Pinda kaingiaje hapa?? Je alitoa maagizo verbal au kwa maandishi kwa huyo katibu mkuu? Habari haijatimia na yawezekana mtoa taarifa tayari una picha na ajenda yako dhidi ya Pinda. Kuwa wazi tu mkuu.
   
Loading...