Mtoto wa Mkulima (Pinda) kilimo kwa vitendo anatuonyesha mafanikio kuvuna mahindi magunia 1000

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,891
6,902
pg4a0268-jpg.160681Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua mavuno ya mahindi kutoka shamabani kwake yaliyokusanywa nyumbani kwake Kibaoni wilayani Mlele, Mpanda Mei 24, 2014.

pg4a0291-jpg.160684

Mheshimiwa Pinda anatarajia kuvuna zaidi ya magunia 1000 ingawa ekari tano za mahindi hayo ziliharibiwa na Tembo kutoka hifadhi ya katavi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
Attachments

  • PG4A0268.jpg
    PG4A0268.jpg
    105.5 KB · Views: 1,030
  • PG4A0291.jpg
    PG4A0291.jpg
    119.9 KB · Views: 977
Hongera zake ila subiri amalize uongozi kama hayo mashamba aliyo nayo kila mkoa atayaweza. Kilimo gharama ati.
 
Huyu jamaa ndo ule usaini wa akina Kinana kufika mahali na kupaki gari halafu anavaa malapa kuwadanganya watu kuwa naye ni kama wao. Mtu hapa anaonekana kabisa kapiga picha kwenye mahidi hata kama yake lakini kawatumikisha vibarua kwa kuwalipa ujira mdogo
attachment.php

attachment.phpWaziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua mavuno ya mahindi kutoka shamabani kwake yaliyokusanywa nyumbani kwake Kibaoni wilayani Mlele, Mpanda Mei 24, 2014.

Mheshimiwa Pinda anatarajia kuvuna zaidi ya magunia 1000 ingawa ekari tano za mahindi hayo ziliharibiwa na Tembo kutoka hifadhi ya katavi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
Huyu jamaa ndo ule usaini wa akina Kinana kufika mahali na kupaki gari halafu anavaa malapa kuwadanganya watu kuwa naye ni kama wao. Mtu hapa anaonekana kabisa kapiga picha kwenye mahidi hata kama yake lakini kawatumikisha vibarua kwa kuwalipa ujira mdogo

Haaaa haaa haaaa! Kula LIKE mkuu sana! Usanii wa CCM umevuka mipaka mpaka mtu mzima, msomi, fisadi, kiongozi mwenye upara wake mkuuubwa Mh. Kinana anadanganya kama mtoto. Anapaki V8 jipyaa full kiyoyozi jirani halafu anavaa malapa anapanda bajaji anakuja mkutanoni wananchi m.a.b.w.e.g.e. wanashabikia weeeee weeee huyu ni mwenzetu anashida kama sisi! Haaaa haaaa! Kazi ipo
 
Mimi nataka atuambie gharama za kulima hayoi Mahindi ni Kiasi gani, Maana usikute amelima tu kama maonyesho ili siku ya siku akija kuojiw aseme alikuw analima mahindi na ndio maana akanunu mabasi ya SUMRY(mmemsema naona kamouni imekufa, sijuhi kaekeza wapi sikuhizi)

Pili Atuambie Je alitumia Mbolea ya MINJINGU maana wengine wanalazimishwa wakati haifai,sasa hatujuhi yeye.
 
Anavuna mahindi na suti wapi na wapi ..........ukulima gani huu au ndio full maigizo kama ya Kinana kwenda kulima huku mguu ni kavaa travota ?

ana haki ya kukagua mavuno huku kavaa suti.halimi yeye,tunalima sisi vibarua wake.lol
 
Huu ndio uzuri wa viongozi wa ccm, wanaonyesha mfano bora kwa raia. Hongera mtoto wa mkulima.
 
Kule Machame, jimbo la Hai Mbowe ana mashamba hayalimi wala kuwapa wapiga kura wake walime bure hata kwa kukodisha. Yapo tu kama mbuga na yeye anaishi Dar na Dodoma.
 
Huyu sio kama lowasa aliuambia uma baada ya kuukosa uraisi atarudi Monduli akachunge ng'ombe chaajabu mpaka leo yuko mjini
 
dah napenda type ya viongozi hawa, hana tym na mtu wala malumbano...hongera mzee wa "utapigwa tu maana hakuna namna nyengine"
 
dah napenda type ya viongozi hawa, hana tym na mtu wala malumbano...hongera mzee wa "utapigwa tu maana hakuna namna nyengine"
Haaaahaahahaaa kauli yake hiyo itadumu vizazi na vizazi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Back
Top Bottom