Mtoto wa mkulima Mh. Mizengo safarini Brazil kujifunza kilimo

CERDIC

Member
Oct 3, 2011
16
0
wakati sera ya kilimo kwanza ikiwa katika utekelezaji Mh. PM na Mrs Tunu wako ziarani Brazil kujionea na kujifunza kilimo cha kisasa ikiwa ni pamoja kutembelea viwanda vya zana za kilimo. sijui serikali inataka kuleta nini tena baada ya power tillers.ule msafara wake sijui kama kiongozi anaye sisitiza kupunguza gharama serikalini aliliangalia vip kabla hajapanda lile dege lake.maudhui ya safari hiyo sijaelewa vizuri, kwani ziara kama hizo zimeshafanywa sana na viongozi wa serikali tangu Tanzania kutangaza kilimo ni uti wa mgongo elimu kama hiyo ya kutoka nchi za wenzetu walioendelea hawajawahi kuipata? hasa kwa kipindi kama hiki hali ya maisha ikiwa ngumu na ziara kama hiyo.INANIUMA SANA KILA NIKIFIKIRIA NINABAKI NINALIA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!NITAKUWA PM MWAKA 2015-2020 NA MIMI NIENDE BRUNEI KUJIFUNZA KULA RAHA................Eeeh sasa je?
 
ni bora kutawaliwa na Mtikila kuliko kimeo PINDA
Huyu jamaa ni mvivu sana
 
Badala ya kuwachukua mabwana shamba wakajifunze ili waeneze watakachojifunza kwa wakulima vijijini wao wanampeleka mtu anaetembea na v8 muda wote na viyoyozi juu!!,hii ni Tanzania zaidi ya uijuavyo.Halafu ni mara ngapi alishakwenda nje kwa ajili ya mambo hayo na mabadiliko vijijini hamna?
 
I always say Pinda is yet another BURDEN to this country. How many time other nations have come to our country to learn about 'good agricultural practice'? Pinda ni mtaalam mpaka aende kujifunza huko. The people in the current government are insane. Oh God, I am tire of illusions!
 
amekwenda kutalii tu hakuna chochote cha maana atakachorudi nacho, mtu mwenyewe hana amaamuzi projo nyingi zilizochanganyikana. Kala kodi zetu bure tu
 
Hii safari inatofauti gani na ile ya kushuhudia uvumbuzi wa nyayo za mtu wa kale? Tatizo letu kila kitu ni siri.
 
Hiki ndo kinachompeleka Brazil......

samba.jpg
 
mimi huwa najiuliza hivi kile chuo kinachoitwa Sokoine University of Agriculture (SUA) huwa kinafanya nini maana watu wanasafiri kwenda nje badala ya kukitembelea chuo hiki ili kupata detals za kila kitu kinachohusiana na kilimo...!! Huyu naye amekwenda kula posho tu ya safari!
 
Mimi nadhani hawa viongozi wetu wanapelekeshwa sababu ya tabia zao za kutotaka kufanya maamuzi sahihi kwa ajili ya nchi na kutembeza bakuli kila kukicha. Haiwezekani hata kidogo PM mzima anaenda kujifunza kilimo wakati SUA kuna maprofessor kibao wamebobea, nchi iliwasomesha wa nini? Hakuna strategies za maana kama nchi.

PM aseme anaenda brazil kutafuta dili zake mwenyewe basi (10%).
 
Jamani kilimo ni taaluma. Ardhi na nguvukazi iliyoko hapa nchini ilipaswa iifanye nchi hii kuwa baba wa kilimo hapa Afrika na tungekuwa tunashindana na South Africa kwenye hili. Tatizo lilianza enzi zile za Nyerere wakati watu wasio na elimu wala upeo walipoingizwa choo cha kike kuwa eti kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi wetu. Hawa watu wakawa wanalima kwa majembe ya mkono ambayo wenzetu kwenye nchi zingine wanayatumia kupalilia vibustani vya maua mbele ya nyumba zao.
Mfumo wetu wa elimu haukujikita kwenye kilimo tangia shule ya msingi na hata kuja kukifanya kuwa taaluma katika elimu ya juu. Hakuna serikali iliyowahi kuwekeza katika nyanja ya kilimo na matokeo yake ndiyo haya ya leo. Wenzetu Zimbabwe na South Africa waliyaona haya tangu enzi hizo ndiyo maana hasa SA wako mbali sana, bahati mbaya Mugabe alivuruga mambo Zimbabwe.
Serikali ya majitu majinga tu hii, kama suala ni kutafuta utaalamu wa kilimo si wangeomba wataalamu toka South Africa tu waje halafu wawapangie program? Brazil mbali kote kwa kazi gani?
Such a nasty, nasty shame.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom