wakati sera ya kilimo kwanza ikiwa katika utekelezaji Mh. PM na Mrs Tunu wako ziarani Brazil kujionea na kujifunza kilimo cha kisasa ikiwa ni pamoja kutembelea viwanda vya zana za kilimo. sijui serikali inataka kuleta nini tena baada ya power tillers.ule msafara wake sijui kama kiongozi anaye sisitiza kupunguza gharama serikalini aliliangalia vip kabla hajapanda lile dege lake.maudhui ya safari hiyo sijaelewa vizuri, kwani ziara kama hizo zimeshafanywa sana na viongozi wa serikali tangu Tanzania kutangaza kilimo ni uti wa mgongo elimu kama hiyo ya kutoka nchi za wenzetu walioendelea hawajawahi kuipata? hasa kwa kipindi kama hiki hali ya maisha ikiwa ngumu na ziara kama hiyo.INANIUMA SANA KILA NIKIFIKIRIA NINABAKI NINALIA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!NITAKUWA PM MWAKA 2015-2020 NA MIMI NIENDE BRUNEI KUJIFUNZA KULA RAHA................Eeeh sasa je?