Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,127
- 79,234
Tabu ni pale unapolaumu kile usichokijua. Pinda hana tatizo lolote tena ni mchapa kazi kwelikweli, lakini yuko chini ya mtu ambaye ndiye final say kwa lolote. Kikatiba na Kisheria PM hana madaraka ya kumsimamisha kazi au kumfukuza waziri yeyote, bali kutoa ushauri kwa final say (Rais). Final say akikataa ushauri PM hana la kufanya zaidi ya hapo.
hamna mtu mbabaishaji kama Pinda kiufupi viatu vya Uwaziri Mkuu ni vikubwa sana kwa Pinda, vimempwaya na mpaka sasa hajui dhamana ya kile cheo! Neeeeeext! Labda tumjaribu mama Tibaijuka mwanamke wa kwanza Uwaziri Mkuu!