Mtoto wa Mke wangu

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,834
155,782
Kama mke wangu alizaa huko kabla sijamuona, Je mtoto wa mke wangu ni ndugu yangu?
Je lwapo na mimi nlikuwa nimezaa kabla ya ndoa kuna ubaya gani watoto wetu ambao kila mtu alizaa kabla hatujaoana wakioana?
 
Hamna undungu wowote kati yako na mtoto wa kufikia - Siyo wa kwako na yeye pia siyo wa kwake - Wanaweza kuoana na kila Mzazi akapokea Mahari
 
Hapo cha msingi ninyie msizae mkizaa tayari mmeshaweka udugu hivyo wakioana ni dowa kwani watakuwa ni ndugu kwakuunganishwa na wadogo zao hivyo kwa mira yakitanzania hasa hauwezi kuwaozesha!!
 
Kama mke wangu alizaa huko kabla sijamuona, Je mtoto wa mke wangu ni ndugu yangu?
Je lwapo na mimi nlikuwa nimezaa kabla ya ndoa kuna ubaya gani watoto wetu ambao kila mtu alizaa kabla hatujaoana wakioana?

Hapo hakuna tatizo maana hawana undugu wa kidamu wala DNA hazina uhusiano hapo hivyo ni ruksa kumegana.

Tatizo linakuja kwenye heshima tu
 
Kama mke wangu alizaa huko kabla sijamuona, Je mtoto wa mke wangu ni ndugu yangu?
Je lwapo na mimi nlikuwa nimezaa kabla ya ndoa kuna ubaya gani watoto wetu ambao kila mtu alizaa kabla hatujaoana wakioana?

Wahindi wanaweza
 
Kiislam inafaa, I dont know about other religion. sometime mila plays a role too
 
sasa mtoto utakayezaa na huyo mkeo atamuitaje kaka/dada yake ambaye ni mtoto wa mkeo?
wifi/hemeji? au kaka/dada?

ukipata jibu moja lenye uhakika hapo,basi ruksa kuwaozesha.
 
Back
Top Bottom