Mtoto wa miezi 9 kushindwa kukaa kwa kujitegemea

Juleilah

New Member
Jun 30, 2021
4
1
Msaada jamanišŸ˜’
Nina mtoto wa miezi 9 na week 3 sasa hawezi kaa kwa kujitegemea kwa muda mrefu akikaa kidogo anaanguka ijapokuwa yupo active kuanzia mikono kushika shika vtu na miguu kuitupa na kuikunja ndio zaidi
NB:alichelewa kukaza shingo nikajithd na mazoez niliyoelezwa ila nikaambiwa akifika miezi 9 ataweza kaa mwenyew nakosa matumainišŸ˜ž
Natamani mwanangu aweze jitegemea šŸ˜”
Nifanye nini zaid jamani mana nimekuwa mtu wa huzuni sana
 
Pole mkuu. Saa zingine muwe mnawaona wazee mlikotoka.

Wazee ni dawa sio kila siku au kila tatzo ni kwendaga hoosii tuu.

Pole yako. Na upungize huzuni maana unamuathiri mtoto moja kwa moja kupitia nyonyo au kama faza kupitia hisia za macho.
 
Tumepita kote mkuušŸ˜’
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom