Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,291
- 1,802
Nchin Misri miaka miwil iliopita mahakama ya kijesh ilimhukumu kifungo cha maisha Ahmed Mansour Quran Ali kifungo cha maisha yeye na wenzie 115 kwa makosa ya mauaji ya watu wanne, kujeruh wengine nane na kuharibu mali za serikal wakat wa kipind cha vurugu.
tatizo aliehukumiwa ni mtoto wa miaka minne.. lakin cha kushangaaa polis walikwenda nyumban kwa mtoto huyo ambae alihukumi akiwa hayupo mahakaman wakitaka kumkamata baba yake alipoga wakamchukua baba mtu na kumfunga miez minne wakishinikiza wapeqe huyo mtoto akatumikie kifungo... mpaka hv watu wa hal za binadam walipopiga kelele ndio mahakam hiyo imedai ilikuwa ni makosa ya kiutendaj na walikuwa wanamtafuta mtu mwingine mwenye jina kama hilo
my take: hiv hao polis waliokwenda kumkamata mbona hawatumii akil hawakuona huyo ni mtoto .. pili imekuwaje had watu wa hak za binadam wapige kelele ndo mahakama ijikombe ingawa bado hawajatengua kesi na baba mtoto anadai wamemwambia watakuja kumchukua siku yoyote..
mi nilidhan ni huku tu polis wetu wanafanyakaz bila kutumia utash kumbe hata huko kwa waarabu nao wako kama
mazombi...
inamaana kama huyo mtoto angekuwa bi mtu mzima inamaana tayar ss hv yuko gerezan kwa kosa ambalo hajatenda..