Mtoto wa miaka 3 kushituka mara kwa mara usiku

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
392
383
Msaada wadau mtoto kushituka Mara kwa mara usiku sijui nini tatizo.hospital nimempeleka zaidi ya mara nne nawaeleza hii hali,wanasema ni kawaida
 
Msaada wadau mtoto kushituka Mara kwa mara usiku sijui nini tatizo.hospital nimempeleka zaidi ya mara nne nawaeleza hii hali,wanasema ni kawaida
Mkuu sio kawaida.ipo hivi chunguza mchana kama huona vitu vya kumtisha kama paka,kuku,midoli yenye maumbo ya wadudu na wanyama au watu wakutisha na kama hakuna hayo mpeleke hospitali wanazo tibu magonjwa ya kichwa hizo mara nyingi huwa ni dalili za mwanzo kabisa za kifafa.TENA KWA USHAURI MPELEKE MIREMBE DODOMA APATE VIPIMO.NA HUKO IKISHINDIKANA NITAFUTE
 
Back
Top Bottom