Mtoto wa masikini huwezi kusoma diploma kwa gharama hizi

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
526
195
Sio siri kupata diploma tu ni jambo linalohitaji gharama kubwa katika serikali hii.ajabu zaidi ni katika vyuo vya serikali. Mwaka mzima jumla inakugharimu tsh.1.5 milioni. kweli tutafika. Serikali iangalie namna ya kuwasaidia vijana wanaotaka kusoma diploma ya Science na Technologia kwa kutoa mikopo kwenye vyuo kama DIT, Mbeya Institute of Science and Technology etc. Jionee mwenyewe hizi gharama, mtoto wa masikini huwezi kupata diploma.http://www.dit.ac.tz/Fees structure B.Eng for 2012 13.pdf na http://www.mist.ac.tz/Documents/APPLICATION_ OD_2012_2013.doc
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom