Mtoto wa marehemu Chacha Wangwe, Bob Wangwe ahukumiwa kifungo cha mwaka 1 na nusu jela au faini Milioni 5

Aiseeee pole yake jamaa nilisoma naye st.Matthew's high school nilimaliza naye form 6 mwaka 2013, kwa ninavyokumbuka jamaa alikuwa anatetea maslahi ya wanafunzi pale shule na bado nusura tu atimuliwe na mwenye shule, leo hii ni serikali duuuuhhh.
siasa sio nzuri kweli
Cc. Real G
 
Dah afadhali hakukutumia wewe kumwakilisha la sivyo angepigwa mvua za kutosha bila faini au zote pamoja.

Bro hi fani naonaga unailizamisha. Si ujaribu catering??
Asante Mkuu, nitauzingatia ushauri wako.
Umejibu kwa hekima
Ewe mwenyezi Mungu nijalie niwe na hekima kama Petro E. Mselewa! Yaani ingekuwa ni mimi amenitamkia maneno hayo. walaaahhi! pangechimbika hadi ningepigwa BAN, du! hongera sana Wakili msomi, nimependa busara zako
 
Umejibu kwa hekima
Wakuu barafu na NAHUJA, upo muda katika maisha unabidi kujibu kama nilivyojibu. You know why? Mimi ni verified user humu JF, tofauti na wenzangu wenye ID zisizo verified. Wapo wanaonijua na hata kuniheshimu. Najua pia wapo wanaonijua na hawaniheshimu. Hayo yote ni maisha. Katika hayo yote, nakuwa makini sana na kauli zangu kwa wengine na hata kwangu binafsi. Tangu nimejiunga JF, sikuwahi kumdharau, kumtusi wala kumkejeli yeyote. Kwakuwa, sote tupo humu kuelimishana, kupashana habari, kukosoana, kusameheana, kushauriana, kujadiliana na kurekebishana. Ukweli ninaouamini kwangu ni chakula cha kila siku uwe unamkwaza mtu au unamfurahisha.
 
Wakuu barafu na NAHUJA, upo muda katika maisha unabidi kujibu kama nilivyojibu. You know why? Mimi ni verified user humu JF, tofauti na wenzangu wenye ID zisizo verified. Wapo wanaonijua na hata kuniheshimu. Najua pia wapo wanaonijua na hawaniheshimu. Hayo yote ni maisha. Katika hayo yote, nakuwa makini sana na kauli zangu kwa wengine na hata kwangu binafsi. Tangu nimejiunga JF, sikuwahi kumdharau, kumtusi wala kumkejeli yeyote. Kwakuwa, sote tupo humu kuelimishana, kupashana habari, kukosoana, kukosoana, kujadiliana na kurekebishana. Ukweli ninaouamini kwangu ni chakula cha kila siku uwe unamkwaza mtu au unamfurahisha.
Ndio maana napenda busara zako, ila ingekuwa ndio mimi hapa yaani huyu Fao La Kujitoa angenitambua:(:(
 
Mahakama ya Kisutu imemuhukumu Bob Chacha Wangwe kulipa faini ya Tsh Mil 5 au kwenda jela mwaka mmoja na nusu

Kosa ni kuchapisha taarifa ya uongo kwenye mtandao wa Facebook kinyume na kifungu namba 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao ya 2015.

90d2b99fe7f6a36bfac5cdc1d295c763.jpg
 
Back
Top Bottom