Mtoto wa Mama mkwe kafanana na mimi, napata tabu sana

kuumbeeee..............ndo maana yamekukuta yalokukutaaa...................................pole wee!
haya limeze hilo maana ushalikoroga ati!!!
pia nakushauri tu uanze kufikiria vasectomy mapeema kabla hujavamia wengine maana si tayari unao watoto wa kutosha??? mpka wengine unataka kususiwa kisa matumizi!!!!!! peleka matumizi!!!!

kwa mujibu wa avata yangu nikisema wa wapi ntaundiwa tume bure!!! na hii sio sredi ya kunifanya niundiwe tume!!!
:A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer:

paloma,nakuundia tume kwa kukataa kusema wewe wa wapi!mwenyekiti wa tume mimi mwenyewe,katibu mi mwenyewe,mweka hazina mi mwenyewe sihitaji msaidizi,mjumbe no 1 mpaka 10 mimi mwenyewe!
 
ukitaka kuhama itakuwa ni physical tu lakini mawazo yataendelea kubaki kama yalivyo na pengine yatazidi ni bora husihame ili mara moja moja uwe unakwenda kumuona mwanao (a.k.a shemejiii)!

Wewe ni kiboko umekula mama na mwana??? Aaaaaghhh, nashauri umwambie mkeo kwamba shemeji yako (a.k.a mwanao) ambaye ni mdogo wake (a.k.a mwanae wa kufikia) kwamba ni mwanao na kwamba mama yake (a.k.a mama mkwe wako) ni mke mwenza.......

Hapo hakuna ndoa ni uchafu tuuuu kwa maoni yangu.
 
Back
Top Bottom