Mtoto wa Mama mkwe kafanana na mimi, napata tabu sana

Kwa hiyo una mtoto ambaye kwa upande mwingine ni shemeji yako, afu mama mkwe ni mzazi mwenzio na mkeo ni mwanao wa kambo, na mtoto uliyezaa na mkeo ni mjukuu wako wa kambo. kazi unayo, you.have the most complicated relationship of all times!
 
Mwaka 2008 nilifungua kioski eneo moja jijini, katika sehemu hiyo ya biashara nilimweka kijana wa kuuza. Sasa Mama mwenye nyumba akajilegeza nikawa napiga mzigo japo yeye alikuwa ni mke wa mtu pia ana mtoto first born wake alikuwa kidato cha nne. Kisha nikampiga chini nikaanza kudili na motto wake, mtoto wake kwa sababu alikuwa mzuri alipo maliza shule, nilimrubuni mpaka nikampeleka kwa Rafiki yangu Dr, nikampima ngoma kwa bahati nzuri alikuwa poa, nikatumia mwanya huo kumpa mimba.

Wakati mtoto mjamzito, tayari mama yake alikuwa na ujauzito wa miezi kadhaa. Mama yake nilikutana naye kwa kutumia zana kwa kila tendo mara zote. Ila kitu ambacho nakumbuka nilikuwa nikimwacha nyumba ya wageni baada ya tendo la ndoa mara nyingi.

Tatizo, Mtoto wa mama na binti niliye zaa naye wamefanana na mimi kwa kwa kila kitu japo wa mama ndio zaidi. Kwa sasa wana miaka 3 na wanaishi wote, ila wa mama mkwe ndio mkubwa.

Nilimuuliza mama mkwe kama kuna mchezo mchafu aliufanya, amenikatalia katakata, ameniambia mtoto ni wa mumewe.

Najisikia vibaya damu yangu kuona siipi matunzo kama inavyotatikana (mtoto wa mama Mkwe). Kingine baba mkwe bila shaka machale yamemcheza kwa jinsi nilivyo mpima, kitu ambacho kinanipa tabu kwenda kumsabahi mtoto wangu kwao.

Mama mkwe amekuwa akinipigia simu kama sipeleki matunzo ya mjukuu wake, atakuja kunimwagia watoto wote wawili kwa mke wangu awalee. Nimechanganyikiwa, natamani kuama jiji. Mke wangu nampenda

Hii habari yako kama ni ya kweli, we noma
 
Kwa hiyo una mtoto ambaye
kwa upande mwingine ni shemeji yako, afu mama mkwe ni mzazi mwenzio na
mkeo ni mwanao wa kambo, na mtoto uliyezaa na mkeo ni mjukuu wako wa
kambo. kazi unayo, you.have the most complicated relationship of all
times!

Halafu bado ana mke na anadai anampenda mkewe. Upendo una defintion nyingi!
 
Last but one paragraph umesema mama mkwe kakuambia mtoto si wako, why now unamuita wa kwako?
Ila wewe ni bazazi. Yaani umetembea na mama, ukamuacha ukatembea na mwanae. Mweeh!
Mwaka 2008 nilifungua kioski eneo moja jijini, katika sehemu hiyo ya biashara nilimweka kijana wa kuuza. Sasa Mama mwenye nyumba akajilegeza nikawa napiga mzigo japo yeye alikuwa ni mke wa mtu pia ana mtoto first born wake alikuwa kidato cha nne. Kisha nikampiga chini nikaanza kudili na motto wake, mtoto wake kwa sababu alikuwa mzuri alipo maliza shule, nilimrubuni mpaka nikampeleka kwa Rafiki yangu Dr, nikampima ngoma kwa bahati nzuri alikuwa poa, nikatumia mwanya huo kumpa mimba.

Wakati mtoto mjamzito, tayari mama yake alikuwa na ujauzito wa miezi kadhaa. Mama yake nilikutana naye kwa kutumia zana kwa kila tendo mara zote. Ila kitu ambacho nakumbuka nilikuwa nikimwacha nyumba ya wageni baada ya tendo la ndoa mara nyingi.

Tatizo, Mtoto wa mama na binti niliye zaa naye wamefanana na mimi kwa kwa kila kitu japo wa mama ndio zaidi. Kwa sasa wana miaka 3 na wanaishi wote, ila wa mama mkwe ndio mkubwa.

Nilimuuliza mama mkwe kama kuna mchezo mchafu aliufanya, amenikatalia katakata, ameniambia mtoto ni wa mumewe.

Najisikia vibaya damu yangu kuona siipi matunzo kama inavyotatikana (mtoto wa mama Mkwe). Kingine baba mkwe bila shaka machale yamemcheza kwa jinsi nilivyo mpima, kitu ambacho kinanipa tabu kwenda kumsabahi mtoto wangu kwao.

Mama mkwe amekuwa akinipigia simu kama sipeleki matunzo ya mjukuu wake, atakuja kunimwagia watoto wote wawili kwa mke wangu awalee. Nimechanganyikiwa, natamani kuama jiji. Mke wangu nampenda
 
Baba v, ungechora family tree ndo ningeelewa
Kwa hiyo una mtoto ambaye kwa upande mwingine ni shemeji yako, afu mama mkwe ni mzazi mwenzio na mkeo ni mwanao wa kambo, na mtoto uliyezaa na mkeo ni mjukuu wako wa kambo. kazi unayo, you.have the most complicated relationship of all times!
 
Laana hiyo mkuu kwa akili ya kawaida huwezi kulala na mama kisha ulale na binti yake.kama ni pepo la ngono lina nguvu kuliko akili yako.Mungu akurehemu na upate kutubu
 
Haya mambo yanafanyika sana ila si kwa siri kubwa mno!!! mimi ninachojua kitanda hakizai haramu na yule wa mkweo sio wako tena wewe tulia chini angalia maisha yako na mwanao, ukitaka kiherehere kitanuka halafu utakosa pa kuweka uso wako!
 
Last but one paragraph umesema mama mkwe kakuambia mtoto si wako, why now unamuita wa kwako?
Ila wewe ni bazazi. Yaani umetembea na mama, ukamuacha ukatembea na mwanae. Mweeh!

Wasiwasi wangu ni kwamba, pindi nilipokuwa namwacha nyumba ya wageni. Yawezekana alijingizia mbegu zangu from condom. Mimi nilivyo, ndivyo mtoto wa mama alivyo kamzidi hata mtoto wa mtoto wake
 
aiseee
wanaume wengine nomaaaa
hivi vitu vinatakiwa viwekewe meter kujua imepima wapi na wapi
unaweza kujikuta unatembea na mtu mabalaa mikosi hayakuachi maishani
kumbe unakula najisi !

Hakika Smile umenena.
Sijui kama nimemwelewa sawa-sawa huyu jamaa kwa jinsi nilivyokerwa na matendo yake.
Yaani, jamaa ana mke, ana girlfriend, na anatoka na mama wa girlfriend wake !! Duh !! (au nimekosea ??)
Na huko nje kote ameharibu.....
Sasa huyu mtoto wa huyo mama atamwitaje ?? Atamwita mtoto wake, shemeji yake (kwa girlfriend) au ...
 
Mwaka 2008 nilifungua kioski eneo moja jijini, katika sehemu hiyo ya biashara nilimweka kijana wa kuuza. Sasa Mama mwenye nyumba akajilegeza nikawa napiga mzigo japo yeye alikuwa ni mke wa mtu pia ana mtoto first born wake alikuwa kidato cha nne. Kisha nikampiga chini nikaanza kudili na motto wake, mtoto wake kwa sababu alikuwa mzuri alipo maliza shule, nilimrubuni mpaka nikampeleka kwa Rafiki yangu Dr, nikampima ngoma kwa bahati nzuri alikuwa poa, nikatumia mwanya huo kumpa mimba.

Wakati mtoto mjamzito, tayari mama yake alikuwa na ujauzito wa miezi kadhaa. Mama yake nilikutana naye kwa kutumia zana kwa kila tendo mara zote. Ila kitu ambacho nakumbuka nilikuwa nikimwacha nyumba ya wageni baada ya tendo la ndoa mara nyingi.

Tatizo, Mtoto wa mama na binti niliye zaa naye wamefanana na mimi kwa kwa kila kitu japo wa mama ndio zaidi. Kwa sasa wana miaka 3 na wanaishi wote, ila wa mama mkwe ndio mkubwa.

Nilimuuliza mama mkwe kama kuna mchezo mchafu aliufanya, amenikatalia katakata, ameniambia mtoto ni wa mumewe.

Najisikia vibaya damu yangu kuona siipi matunzo kama inavyotatikana (mtoto wa mama Mkwe). Kingine baba mkwe bila shaka machale yamemcheza kwa jinsi nilivyo mpima, kitu ambacho kinanipa tabu kwenda kumsabahi mtoto wangu kwao.

Mama mkwe amekuwa akinipigia simu kama sipeleki matunzo ya mjukuu wake, atakuja kunimwagia watoto wote wawili kwa mke wangu awalee. Nimechanganyikiwa, natamani kuama jiji. Mke wangu nampenda

Mkeo unampenda, halafu ulitoka na mke wa mtu, halafu binti wa mke wa mtu na wote umewazalisha, halafutena mkeo unampenda? Mbona una mambo ya kishwaini-shwaini! Bora tu uhamishwe hapo jijini
 
Mke wangu nimemuoa mwaka 1 umepita, mambo ya ndoa kama ujuavyo. Unaachana na ukapela,nipo mwaminifu sana kwake ili niwe mfano katika ndoa yetu.
 
Binadamu wengine wana tabia kama za kuku...

Tofauti ni kuvaa nguo tu...kudaaadek so disgusting!!
 
Mwaka 2008 nilifungua kioski eneo moja jijini, katika sehemu hiyo ya biashara nilimweka kijana wa kuuza. Sasa Mama mwenye nyumba akajilegeza nikawa napiga mzigo japo yeye alikuwa ni mke wa mtu pia ana mtoto first born wake alikuwa kidato cha nne. Kisha nikampiga chini nikaanza kudili na motto wake, mtoto wake kwa sababu alikuwa mzuri alipo maliza shule, nilimrubuni mpaka nikampeleka kwa Rafiki yangu Dr, nikampima ngoma kwa bahati nzuri alikuwa poa, nikatumia mwanya huo kumpa mimba.

Wakati mtoto mjamzito, tayari mama yake alikuwa na ujauzito wa miezi kadhaa. Mama yake nilikutana naye kwa kutumia zana kwa kila tendo mara zote. Ila kitu ambacho nakumbuka nilikuwa nikimwacha nyumba ya wageni baada ya tendo la ndoa mara nyingi.

Tatizo, Mtoto wa mama na binti niliye zaa naye wamefanana na mimi kwa kwa kila kitu japo wa mama ndio zaidi. Kwa sasa wana miaka 3 na wanaishi wote, ila wa mama mkwe ndio mkubwa.

Nilimuuliza mama mkwe kama kuna mchezo mchafu aliufanya, amenikatalia katakata, ameniambia mtoto ni wa mumewe.

Najisikia vibaya damu yangu kuona siipi matunzo kama inavyotatikana (mtoto wa mama Mkwe). Kingine baba mkwe bila shaka machale yamemcheza kwa jinsi nilivyo mpima, kitu ambacho kinanipa tabu kwenda kumsabahi mtoto wangu kwao.

Mama mkwe amekuwa akinipigia simu kama sipeleki matunzo ya mjukuu wake, atakuja kunimwagia watoto wote wawili kwa mke wangu awalee. Nimechanganyikiwa, natamani kuama jiji. Mke wangu nampenda

Kweli we bandidu yaani wakati unacheza hizi sinema zote una Mke, kweli kila mchumia jambo hula na wakwao ,subiri kinachokuja maana ktk hili ulilikoroga ya nini kumpa mimba mtoto wa watu huku una mke?
 
Mwaka 2008 nilifungua kioski eneo moja jijini, katika sehemu hiyo ya biashara nilimweka kijana wa kuuza. Sasa Mama mwenye nyumba akajilegeza nikawa napiga mzigo japo yeye alikuwa ni mke wa mtu pia ana mtoto first born wake alikuwa kidato cha nne. Kisha nikampiga chini nikaanza kudili na motto wake, mtoto wake kwa sababu alikuwa mzuri alipo maliza shule, nilimrubuni mpaka nikampeleka kwa Rafiki yangu Dr, nikampima ngoma kwa bahati nzuri alikuwa poa, nikatumia mwanya huo kumpa mimba.

Wakati mtoto mjamzito, tayari mama yake alikuwa na ujauzito wa miezi kadhaa. Mama yake nilikutana naye kwa kutumia zana kwa kila tendo mara zote. Ila kitu ambacho nakumbuka nilikuwa nikimwacha nyumba ya wageni baada ya tendo la ndoa mara nyingi.

Tatizo, Mtoto wa mama na binti niliye zaa naye wamefanana na mimi kwa kwa kila kitu japo wa mama ndio zaidi. Kwa sasa wana miaka 3 na wanaishi wote, ila wa mama mkwe ndio mkubwa.

Nilimuuliza mama mkwe kama kuna mchezo mchafu aliufanya, amenikatalia katakata, ameniambia mtoto ni wa mumewe.

Najisikia vibaya damu yangu kuona siipi matunzo kama inavyotatikana (mtoto wa mama Mkwe). Kingine baba mkwe bila shaka machale yamemcheza kwa jinsi nilivyo mpima, kitu ambacho kinanipa tabu kwenda kumsabahi mtoto wangu kwao.

Mama mkwe amekuwa akinipigia simu kama sipeleki matunzo ya mjukuu wake, atakuja kunimwagia watoto wote wawili kwa mke wangu awalee. Nimechanganyikiwa, natamani kuama jiji. Mke wangu nampenda

Bahati yako we si mjaluo ungekuwa umeshadedi kitambo na ...CHIRA...! Duh we kiboko, mama na mtoto?
 
Umesema binti wa mamamkwe (ambaye umemzalisha) ni mzuri sana na thats why uliamua kuanzisha mahusiano nae mara tu alipomaliza form 4, na ukampa ujauzito, why hukumuoa huyo binti ambaye tayari ameshakuzalia ukaenda kuoa mwanamke mwingine?

Mke wangu nimemuoa mwaka 1 umepita, mambo ya ndoa kama ujuavyo. Unaachana na ukapela,nipo mwaminifu sana kwake ili niwe mfano katika ndoa yetu.
 
Umesema binti wa mamamkwe (ambaye umemzalisha) ni mzuri sana na thats why uliamua kuanzisha mahusiano nae mara tu alipomaliza form 4, na ukampa ujauzito, why hukumuoa huyo binti ambaye tayari ameshakuzalia ukaenda kuoa mwanamke mwingine?

Kuna vigezo vyingi vya kufunga ndoa na mtu, in short yeye na mimi dini tofauti pamoja na sababu zangu zingine
 
Back
Top Bottom