Mtoto wa Mama mkwe kafanana na mimi, napata tabu sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa Mama mkwe kafanana na mimi, napata tabu sana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kwamtoro, Oct 24, 2012.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Mwaka 2008 nilifungua kioski eneo moja jijini, katika sehemu hiyo ya biashara nilimweka kijana wa kuuza. Sasa Mama mwenye nyumba akajilegeza nikawa napiga mzigo japo yeye alikuwa ni mke wa mtu pia ana mtoto first born wake alikuwa kidato cha nne. Kisha nikampiga chini nikaanza kudili na motto wake, mtoto wake kwa sababu alikuwa mzuri alipo maliza shule, nilimrubuni mpaka nikampeleka kwa Rafiki yangu Dr, nikampima ngoma kwa bahati nzuri alikuwa poa, nikatumia mwanya huo kumpa mimba.

  Wakati mtoto mjamzito, tayari mama yake alikuwa na ujauzito wa miezi kadhaa. Mama yake nilikutana naye kwa kutumia zana kwa kila tendo mara zote. Ila kitu ambacho nakumbuka nilikuwa nikimwacha nyumba ya wageni baada ya tendo la ndoa mara nyingi.

  Tatizo, Mtoto wa mama na binti niliye zaa naye wamefanana na mimi kwa kwa kila kitu japo wa mama ndio zaidi. Kwa sasa wana miaka 3 na wanaishi wote, ila wa mama mkwe ndio mkubwa.

  Nilimuuliza mama mkwe kama kuna mchezo mchafu aliufanya, amenikatalia katakata, ameniambia mtoto ni wa mumewe.

  Najisikia vibaya damu yangu kuona siipi matunzo kama inavyotatikana (mtoto wa mama Mkwe). Kingine baba mkwe bila shaka machale yamemcheza kwa jinsi nilivyo mpima, kitu ambacho kinanipa tabu kwenda kumsabahi mtoto wangu kwao.

  Mama mkwe amekuwa akinipigia simu kama sipeleki matunzo ya mjukuu wake, atakuja kunimwagia watoto wote wawili kwa mke wangu awalee. Nimechanganyikiwa, natamani kuama jiji. Mke wangu nampenda
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  aiseee
  wanaume wengine nomaaaa
  hivi vitu vinatakiwa viwekewe meter kujua imepima wapi na wapi
  unaweza kujikuta unatembea na mtu mabalaa mikosi hayakuachi maishani
  kumbe unakula najisi !
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Nimekumbuka hadithi za BULICHEKA
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Vodacom.... Kazi ni Kwako..
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hivi wanaume wengine mkoje?

  utatembeaje na mama na bintiye?

  wanasema what
  goes around, comes around, ....... subiri wanaume wenzio watakapokula mke na mwanao na kuwazalisha ndipo utakapojua ubaya wake....

  sijaipenda hii

  siwezi hata kukushauri....

  kaa vipi subiria mkeo aletewe watoto....na uone jinsi gani atakuwa dissappointed nawe
   
 6. s

  souvenir Senior Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  uwii hivi jamani mimi nitaolewa kweli?habari ninakutana humu zinanitisha kufa.
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,049
  Likes Received: 6,493
  Trophy Points: 280
  peleka vijisenti mkuu
  kama matunzo hakuna wawalete tu wawabwage hapo kwako,
  kwani kuhamia mkoa ndo sababu, lol, ndo maaana ukala mama na mtoto
  mwana laana mkubwa weye.
   
 8. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Duh, hii hata wanyama hawaiwezi! Unakula mama, halafu tena unakuja kula na binti, tena unampa mimba huku ukijua huyu binti atarudi nayo hiyo mimba kwa mamake ambaye ulikuwa unamla. Na hapo una mke wako? I see, kuna watu wengine mishipa ya fahamu ilishakatika siku nyingi wapo wapo tu hapa duniani kama marehemu wanaotembea. Kwa hiyo sasa umemzalisha mama na binti yake, hao watoto wako watakuwa wanaitanaje?
   
 9. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  majuto mjukuu..........umelikoroga kudadeki, lazima uwe mpole vigezo na masharti kutoka kwa mama mkwe kuzingatiwa. Lakini hii ya kula mtaji na faida....inafilisi/hasara na ndiyo matokeo yake,
  huwa wanakula matunda, mti unaupalilia
   
 10. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,245
  Likes Received: 2,929
  Trophy Points: 280
  Haswaa,kwasasa anajutia wakati keshachelewa,kufanya kwa mama na mwanae si vema.
   
 11. Fyong'oxi

  Fyong'oxi JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh Hii kali kweli kumbe humu ndani kuna zaidi ya maajabu.Ni bora ungemuoa yule bint wa yule mama!Vinginevyo kuna dalili ya hiyo laana kukuandama
   
 12. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  weye toa matunzo...watoto wakikua rudia tena kamchezo kako...............
   
 13. Grand Master Dulla

  Grand Master Dulla JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  kwamtoro Wacha ujinga wewe mwanaume tangu lini akawa na mtoto mwenye mtoto ni mama yake tuu wewe msaidizi tena nachukia hiki kitu wa2 wanasema oooh siwezi kuwacha damu yangu,damu gani wewe,midhali kashakwambia siyo wako shukuru mungu sahau ki2 damu yangu kwani umepiga pulli mara ngapi au umetumi kondom mara ngapi?kwani mara hizo zote si damu zako unaenda kuitupa unapotumia kondom au unapopiga pulli?? wacha mawazo ya kale hayo ni majukumu tu hayo utayaweza??unajwaje labda kapewa ujauzito na muhudumu wa gesti mliyokuwa mnakwenda kujivinjari? si ulikuwa unaondoka unamwacha nyuma? vipi akakwamba kuwa ni wako halafu halafu kumbe si wako yaani akakubambikizia kisa kakuona unahela?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. lillies

  lillies Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  yaani wewe mwanaume ni fusika sijapata kuona,sasa kilicho kuwasha mpaka ukatembee na mama na mwana ni nini hasa mbona uso wako hauna haya kama wa mbuzi,tena ulaaaniwe mwanaharamu mkubwa wewe,,huyo mama aje tu :A S angry::A S angry::A S angry:akubwagie hao watoto
   
 15. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Sasa si uwatunze hao wanao. inaelekea hata huyu mjukuu unabip matumizi au hupeleki kabisa.

  Tunza wote na uwasomeshe na uache uasherati!
   
 16. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Hili uwe sehemu salama unatakiwa kueleza ukweli kwa mkeo naye ajue nini kinaendelea.
   
 17. J

  John W. Mlacha Verified User

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  upumbavu kama huu ndio maana nlikuwa naipigia chapuo mahakama ya kadhi. Watu kama hawa ni wa kunyongwa tu
   
 18. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo unajiona we mjanja!!!! shauri yako! umelikoroga sasa ulinywe!!! koma ubishi sasa! aaggghhhh!!!!
   
 19. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,692
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  ukiachana na tabia yako chafu ya kutembea na mama na bintiye suala la kufanana(kwa watoto) linawezekana tu!mfano mimi nimefanana na mjomba wangu,mimi nimezaliwa na mama yangu na mjomba kazaliwa na mama yake mama yangu,kwa hiyo kwa hapo tu inawezekana hivyo usishangae mkeo kuzaa mtoto aliyefanana na mtoto wa mama yake.

  suala la wewe kufanana na huyo au hao watoto inawezekana macho yenu tu ndio mnaona hivyo!subiri watoto wakue,watoto hubadilika daily
   
 20. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Majitu mengine,manyang'au kweli   
Loading...