Mtoto wa Malecela amshukia Mukama

W. J. Malecela mjumbe wa mkutano mkuu wa wilaya ya Ilala ukiwakirisha kata ya Kivukoni, je umepanga Apartment yako au bado mpaka umri huo unakaa kwa Baba yako Upanga Sea view!?......
 
Last edited by a moderator:
W. J. Malecela mjumbe wa mkutano mkuu wa wilaya ya Ilala ukiwakirisha kata ya Kivukoni, je umepanga Apartment yako au bado mpaka umri huo unakaa kwa Baba yako Upanga Sea view!?......

- Mkuu sasa unanivunja mbavu sana! ha! ha! ha! ha! tizama ulipoanzia mpaka ulipofikia na hii thread, unazidi kujivua nguo hasa the fact kwamba unafahamika ni nani unafikiri haya yatakusaidia nini bro? I mean think mwananchi mwenye matatizo ya maisha anakuja hapa na kukuta haya ya kuulizana unaishi wapi na kwa nani? ha! ha! ha! ha!

- Ok lets see your point, JF siku hizi imeajiri viranja wa kujua watoa hoja wanapoishi na nani wanayeishi naye? ha! yaani ha! ha! yani badala ya ku-deal na hoja wewe unataka tuanze kuulizana tunapoishi humu ndani kweli patatosha? ha! ha! ha! ha! ha!

BY THE WAY LEO NIPO HUKU SHAMBANI KWANGU KINYEREZI, KARIBU MKUU WANGU KUNA MADAFU SANA HAPA SHAMBANI KWANGU! HA! HA! HA! HA! HA!

RESPECT MUCH BRO!!

LE MUTUZ BIIG SHOOW!!
 
W. J. Malecela swali langu ni muhimu sana kwa umri ulionao pls don't skip, wewe unaishi wapi na kwa nani? je umepanga apartment yako?
 
Last edited by a moderator:
- mkuu sasa unanivunja mbavu sana! Ha! Ha! Ha! Ha! Tizama ulipoanzia mpaka ulipofikia na hii thread, unazidi kujivua nguo hasa the fact kwamba unafahamika ni nani unafikiri haya yatakusaidia nini bro? I mean think mwananchi mwenye matatizo ya maisha anakuja hapa na kukuta haya ya kuulizana unaishi wapi na kwa nani? Ha! Ha! Ha! Ha!

- ok lets see your point, jf siku hizi imeajiri viranja wa kujua watoa hoja wanapoishi na nani wanayeishi naye? Ha! Yaani ha! Ha! Yani badala ya ku-deal na hoja wewe unataka tuanze kuulizana tunapoishi humu ndani kweli patatosha? Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

By the way leo nipo huku shambani kwangu kinyerezi, karibu mkuu wangu kuna madafu sana hapa shambani kwangu! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!

Respect much bro!!

Le mutuz biig shoow!!

wehu siyolazima waokote makopo
 
Magarasha yakifagilia magarasha, we can see through this like it's a glass door.

Anayesifia na kuendekeza makundi ndani ya CCM, anakemea upinzani kwa kuwa wakala wa makundi ndani ya CCM.

This would have been laughable if it wasn't so serious.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom