Mtoto wa Malecela amshukia Mukama

- ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Le biig shoow jf stress sydrome, so the biig shoow is still on! Ha! Ha! Ha1

i am humbled sana you know!!

Le biig shoow!!

Kudos...Unleash Hell!

I'm sorry for those who expect spade to be tagged otherwise! Watakuja hapa watu watapiga sarakasi za party discipline n.k...ofcourse ni lazima ikuletee matata ndani ya chama chako kama nilivyotoa preacaution move ya Bernard Membe

It's true !A vast majority of our people continue to facilitate between exorbitant enthusiasm and irrational irritability, while a microscopic few, who have piloted the affairs of this nation continue to live in peasant
 
haya bwana...!
naona media zimeanza kukuangalia na kukusikiliza....!

le big show

Mtanzania siyo Media bali ni kijiwe cha majungu na kutumika kisiasa, back t topic muandishi ameanza na neno Mtoto wa John Malecela thats means huyu jamaa bado anatumia kimvuli cha tingatinga kufanya siasa zake uchwara, sijawahi kusoma gazeti lolote likimuandika Hussein Mwinyi eti mtoto wa Ally Hassani Mwinyi au Adam Malima akiandikwa kama mtoto wa Profesa Malima. hana lolote huyu.
 
Atueleze kwanza Baba yake na chama chake wamesaidia vp maisha ya mtanzania wa kawaida ndio aje na maneno yake hapa jukwaani
 
- ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Le biig shoow jf stress sydrome, so the biig shoow is still on! Ha! Ha! Ha1

i am humbled sana you know!!

Le biig shoow!!

You have a big problem of not being able to learn!! You were Nape's project for membership to the EA parliament but he failed to put you through in spite of all the machinations!! You still believe and wrongly too that he is a power broker within the magamba hierarchy and he will help you realize your dream!!! I cry for Ipyana because he was the natural political heir!!
 
Yaani watu kama hawa akina William ndio wanakidhalilisha Chama cha Mapinduzi kwa ubishoo. A big No to such people! kusudi la uzi huu alitaka kutujisha kuwa kachaguliwa kuwa mjumbe wa CCM na Wazazi; Kwa hiyo tufanyeje sasa. Mimi mtu mwenye majigambo simpendi na wala simsupport hata kama nikibaki mwenyewe.
 
"Juzi nilikuwa kiwanjani kwenye mechi ya wabunge, nilikuwa karibu na kiongozi mmoja mkubwa wa CCM nikamwambia subiri Zitto na Nassari watakapotajwa kuingia uwanjani utaona kelele za wananchi, akaniuliza kwa nini, nikamjibu ni kwa sababu wanafanana na wananchi wengi waliopo hapa uwanjani.

Mwaka 2005 wakati JK anang'ara alikuwa akifanana na vijana? nakumbuka nilikuwa Ubungo kituo cha daladala wakati jina la JK lilipotangazwa kuwa mgombea wa CCM zilisikika nderemo na vifijo toka Chuo Kikuu umati wote wa Chuo Kikuua ukisahangilia sana zilikuwa kana kwamba kelele za uwanja wa Taifa uwao Temeke, je wale vijana waliokuwa chuo kikuu walikuwqa wakifanana na JK?

Nafikiri Williama anapaswa kukubali kuwa ufisadi na kujinufaisha binafsi ndio matatizo makuu ya ccm.
 
wewe una simamama wapi sasa? huyu ccm mwenzako na isitoshe kamsifia Nape boss wako.

Nape nimuajiri mimi halafu awe boss wangu? kuwa CCM hakujalishi, kama hujui siasa tunakupa kinaga ubaga, hiyo ndio tofauti ya wana CCM na nyinyi mnaopokea magamba tuliyoachana nayo. Hata babake tulimpiga chini kwenye kura za maoni kama tulivympiga chini Slaa. Umesahau?
 
Mwana ccm mwenzenu huyo usimponde utatolewa kwenye chama!

CCM kama huwezo kuongoza unaambiwa kaa pembeni na wanachama wenyewe, kama alivyofanyiwa baba'ke na kama alivyofanyiwa Slaa ambae ni Katibu wa Chadema kwa sasa, na wengine wengi tu.
 
Nape nimuajiri mimi halafu awe boss wangu? kuwa CCM hakujalishi, kama hujui siasa tunakupa kinaga ubaga, hiyo ndio tofauti ya wana CCM na nyinyi mnaopokea magamba tuliyoachana nayo. Hata babake tulimpiga chini kwenye kura za maoni kama tulivympiga chini Slaa. Umesahau?
Acha uongo Pumbavu zako, Dr Slaa alishinda kura za maoni, vikao vyenu vya kishirikina kule Dodoma ndio vikamkata jina kumuweka mtu wao, matokeo yake mpaka leo CCM inajuta na lile jimbo la karatu milele CCM haitoshinda hata siku moja.
 
Alipigwa chini kura za maoni vibaya sana. Nadhani mpaka sasa utakuwa umeshazijuwa sababu.

Vipi, Josephine anaendelea kurekebisha "software" iliyoleta mapato "0" bungeni? Nasikia kitengo cha fedha kakishika yeye pale makao makuu, anaeleta "kwi" hakai. Source - TUNTEMEKE
 
Last edited by a moderator:
CCM kama huwezo kuongoza unaambiwa kaa pembeni na wanachama wenyewe, kama alivyofanyiwa baba'ke na kama alivyofanyiwa Slaa ambae ni Katibu wa Chadema kwa sasa, na wengine wengi tu.

Baba ni baba na mwana ni mwana mpeni labda ataweza!
 
Mama ya wakambo pia alikuwa anaongea sana kwa kinga ya Baba yako, baada ya baba yako kuwa nje ya system siku hizi kanyamaza, chunga sana usije ukapotezwa ujui Mukama kaingiaje hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom