ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,547
- 1,869
samahani mkuu hivi ku resit ndo kurudia darasa ama ukiresit lazima uanzie form three?? kuna shule nazifaham hua wana utaratibu flan unasoma masomo ya form v huku unarisit form iv (siwezi kuzitaja) ukipata credit zako unaunganisha form six ila ukikosa unabakia form v huku ukiendelea kurisit ila unasoma kama private candidate.. best explanation kwa huyo dada labda atakua alitumia huo utaratibu akapata credit wakati huo huo tayari ameshasoma form five kwaiyo akaingia form six moja kwa moja akafanya mtihani kisha akasoma cheti kwa mwaka mmoja (labda ndo maana ikabid apitie NACTE badala ya TCU) ndo maana leo yupo second year chuo kikuu. kuhusu kusoma bcom inawezekana cheti alisomea mambo ayo ama alikisafisha cha form four baada ya kurisit.. kuna explanation nyingi sana za kwanini awe mwaka wa pili isipokua mi namshauri yeye ama watu wake wa karibu asijisumbue kujibu ama kuweka kumbukumbu sawa kuhusiana na huu "udaku" make hua ni adhabu nzuri sana kwa mpumbavu unapoamua kukaa kimya kama husikii anachoongea.. samahani kama nimevuka red lines za watu mniwie radhiKama kuna watu na Viatu basi wewe FIATU, hivi hupigi hata kahisabati kadogo tu, hivi kama alirisiti form 3 ingekuwa 2012, hivyo kumaliza form 4 2013, na form 5&6 2014/2015 na mwaka huu 2016 angekuwa first year chuo kikuu, sasa imekuaje anasoma UDOM mwaka 2?
Nimekupa kick kukujibu siku nyingine wewe wa kuchapwa fumbafu thanaa ehee ehee