Mtoto wa Magufuli afeli form four

Status
Not open for further replies.
Amemaliza shule ya st.Matthew's
S1071/0102​
F​
JESCA JOHN MAGUFULI
30​
IV​
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F​
Kwani kuwa mtoto wa Waziri ni moja ya tiketi ya kufaulu mtihani?..Au unamaanisha nini mkuu
 
Amemaliza shule ya st.Matthew's
S1071/0102​
F​
JESCA JOHN MAGUFULI
30​
IV​
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F​

Huu mfumo Kristo unawaumbua watu wenye heshima zao nchini
 
What's the big deal?

Kwanza mfumo wetu wa elimu haueleweki! Na kufeli mtihani si kigezo cha akili wala werevu.

Sijui kwa nini tu watu wanawekeaga sana umuhimu wa divisheni....

Mh. usitafute execuse ya kuhalalisha kwa nini ulifeli. Hapa naona unatetea uzembe zaidi kuliko kutetea performance kwa sababu hapa unataka kusema kuwa anayefaulu mtihani hana tofauti na aliyefeli kiakili au kwa werevu. Ili uweze kuisaidia jamii vema naomba sana sana utumie uwezo wako wa kuchangia hapa kusaidia jamii kuliko kuwatia moyo waliofeli wajione wameonewa wakati baadhi yao wanajijua kabisa wakati wenzao wanasoma wao walikuwa wanavuta bangi na wengine kuhama ukumbi huu kwenda ule kujirusha.
 
Wengi wenu mnaofuatilia matokeo ya watu ndo kwanza hata hizo four hamkuzipata.wengine vyuoni mna pass,kwasababu hatuwajui ndo mnasakama watoto wa watu.kwani mtoto wa kiongozi ndo hafeli?waacheni watoto wa watu!

Elimu ya darasani si kuyashinda maisha ww, kuna wa2 wanajua kusoma na kuandika 2 na nimamilionea.
 
Mkitaka kuoa,GPA kiwe kigezo pia,ndo haya kipanga unaoa kilaza,unategemea nini?
 
Kabisa,maana debe tupu haliachi kutika.
Wengi wenu mnaofuatilia matokeo ya watu ndo kwanza hata hizo four hamkuzipata.wengine vyuoni mna pass,kwasababu hatuwajui ndo mnasakama watoto wa watu.kwani mtoto wa kiongozi ndo hafeli?waacheni watoto wa watu!
 
Yani hawa mabinti wa JK na Magufuri japo yalikua yanasoma shule za bei na zinazofundisha lakini yamefeli......cjui yalikua yamekalia mapenzi tu....akhaaaaaaaaaakh. yangesoma kata haya ni zero tu
 
Kuhusisha watoto wa waheshimiwa naona siyo fair. Hebu fikiria mtoto atajisikiaje kuanikwa hivi. Kwani yeye alichagua baba yake awe Mhe. Magufuli? Tumefunzwa kwenye dini tutende haki na pia tumeona wasiotenda haki hupata malipo na huweza kuwa hapa hapa kwa watoto wao. Tuache watoto tusiwachanganye na wazazi wao wakati wa kuwashambulia - Unless mtoto huyo anafanya vituko kwa kutumia nafasi ya mzazi wake. Jamani tusiingize watoto wasiokuwa na hatia ili nao wapate nafasi yao kutengeneza maisha yao kadri Mwenyezi Mungu alivyowajalia.
 
Wana JF tutambue kuwa kufaulu kwa mtoto katika mitihani yake, kuna vitu vingi vyakuangalia na si swala moja la wazazi! Mazingira yana % zake, wazazi wana %, walimu wana % na mtoto mwenyewe ana % zake. Kutokana na hayo makundi si vizuri kuhitimisha kwamba mzazi ameshindwa kumuelimisha mtoto wake, isipokuwa mzazi ana sehemu kubwa ktk ufaulu wa mtoto, hasa chanzo ikiwa ni nidhamu ya mtoto, malezi na mazingira ambayo mtoto ameandaliwa. Let us be considerate on this!
Pia tukumbuke mtoto anawezakuwa na akili lakini siku ya mtihani mambo yakambadilikia kutokana na mazingira aliyokuwa nayo.
 
Ingekuwa mimi ningeenda kumpima dna na ma yake
ni mara chache watoto kuchukua akili za mama zao sasa kama baba ana u dk
mtot ngumu kushuka mpaka hivi

unajua ukitaka kujua umebambikiziwa mtoto kuan sekta kama hiz za elimu ndio za kushtuka sasa kama ataona amechelewa wacha aendelee kutunza asishangae siku ya harusi anapigwa busu la ajabu mume mwenza
popote alipo mh magufuli na wasi wasi na huyu mtoto kama ni wakokweliiiiiiii
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom