Mtoto wa Magufuli afeli form four

Status
Not open for further replies.

J Rated

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
269
51
Amemaliza shule ya st.Matthew's
S1071/0102​
F​
JESCA JOHN MAGUFULI
30​
IV​
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F​
 
hahahhaha acha nicheke, hawa watu nchi imewashinda na familia zimewashinda. harafu ukiangalia wawili hao wote ni playboys.
 
What's the big deal?

Kwanza mfumo wetu wa elimu haueleweki! Na kufeli mtihani si kigezo cha akili wala werevu.

Sijui kwa nini tu watu wanawekeaga sana umuhimu wa divisheni....
eti eh...tufute mitihani
 
Wameshindwa kuongoza nchi na hata familia za watu watatu zimewashinda.Kweli CCM hovyo inatia kinyaa.
 
sio safi kutoa siri za wanafunzi

Ukiwa public figure yatakuandama mengi...
Hata kama unakula kisamvu kwa ugali wa mhogo kila J'mosi,watu wakiinyaka hiyo siku moja tu,wataizusha kama vile watumishi wako wa Ikulu au nyumbani kwako wameshirikiana na mkeo unyimwe chakula!
 
Mmh jamani ya madaktari yameisha?Mbn wabongo tunaendeshwa na matukio.....Anayefahamu anijuze taarifa za HOSPITALI YA MUHIMBILI kwa sasa.
 
What's the big deal?

Kwanza mfumo wetu wa elimu haueleweki! Na kufeli mtihani si kigezo cha akili wala werevu.

Sijui kwa nini tu watu wanawekeaga sana umuhimu wa divisheni....

Mtazamo wako unaashiria hata ww ulifeli ndo mana huoni deal ktk division! Yah, namna ya kujifariji kimtindo!
 
Mbona mko hivyo jamani?
Nyie mnaowasimanga hawa watoto nyie mlipata ngapi?
Kosa lao ni nini? Kuwa watoto wa viongozi? Akili ya mtoto haiwezi tegemea cheo cha mzazi hata siku moja, na hao wazazi si walioandika huo mtihani.
Na hakuna palipoandikwa katika vitabu kuwa ukiwa mtoto wa kiongozi basi marufuku kufail.
Msiwasakame kiasi hicho.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom