Afyayaakili
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 903
- 1,174
Sherehe ilifana sana viongozi kiba wahudhuria akiwemo rais mstaafu wa awamu ya pili Mzee Mwinyi.
VIONGOZI mbalimbali Wastaafu na waliopo Madarakani wakiongozwa na Rais Mstaafu Alli Hassan Mwinyi wamepamba harusi ya Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Robert Lowassa na mkewe Stephanie Kaaya.