Mtoto wa kwanza Mzee Aboud Jumbe afariki ghalfa India

Hiyo kurugenzi hovyo kabisa hovyo kila release yao errors tu..utafikiri imetoka wodi ya vichaa pale muhimbili ndio wakai print!!shame kabisa....ndio majibu ya madaraka kupeana kulipana fadhila....na kuliliaa kuwa mmenisahau kazi kubwa nilifanya kuchafua wagombea""
 
Rip Dr sule. Btw, dr sule niliyemjua mimi kama alikuwa teja vile!, am just being curious.
 
Pole mzee wetu msataafu Jumbe ila hiyo ni safari ya wote tuko kwenye foleni muhimu ni maandalizi
 
Back
Top Bottom