MTOTO wa kutisha: Angekuwa marehemu ka angezaliwa Bongo!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MTOTO wa kutisha: Angekuwa marehemu ka angezaliwa Bongo!!!!!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Paul Kijoka, May 11, 2012.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mtoto.jpg Mtoto 2.jpg mtoto 3.jpg Mtoto4.jpg Mtoto 6.jpg
   
 2. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  du mungu kaumba,
   
 3. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  inabidi kumwomba mungu lisikutokee
   
 4. d

  dewj Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah Mungu ashukuriwe kwa ukuu wake..
   
 5. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Unaweza kulinganisha picha ya utoto na alivyo sasa. Madaktari wameshaumiza vichwa hapo
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Du kweli tuna kila jambo la kumshukuru Mungu kwa ukamilifu tuliozaliwa nao kwani hatukuwa wema sana na hata aliyezaliwa hivyo hakumkosea ila ni kwa neema zake jina la bwana lihimidiwe
   
 7. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kuna huyu anatajwa kuzaliwa Songea huko nae NI mUNGU TU AJUAE
   
 8. driller

  driller JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  amina na iwe hivyo
   
Loading...