Mtoto wa kiume wa mwl. Christopher Mwakasege afariki dunia hospitali ya Agha Khan

Pole kwa mwalimu Mwakasege.
Ni wkati mgumu sana kwako!
Mungu akupe namna ya kulibeba jambo hili.
 
Sijui miss Tanzania..lilian kamazima ndio alikuwa mchumba wake..maana walikuwa wapo close saana


Lilian ana mtoto je ndio mwanaye au..mwenye info atusaidie..maana sijawahi ona ndoa yao
Screenshot_2018-10-12-10-26-24.jpeg
 
Apumzike kwa Amani Joshua, Mungu awape ujasiri na faraja watumishi hawa!!..lakini mbona kuna dogo bonge kafanana na Mwakasege nilikuwa namwonaga arusha na sio huyu Joshua.
 
Mungu amtie nguvu amalizie semina ndipo aje kuendelea na msiba.
Hicho ndicho kipimo pekee cha mtu wa Mungu mwenye wito.
Mama yake mzazi alipofariki, mwakasege aliendelea na semina ya dar as alisema ndio maelekezo waliopewa. This time ni ngumu sana kwao na MANA. Mungu awatie nguvu
 
Mungu awape faraja . RIP Joshua.... Hakika mwl anapitia pagumu
 
lilian alikuwa engaged wakati mjamzito, na brazamen flan hv white, hakuwa huyu!ila cku hz engagement za ujauzito mara nyingi zinaotaga mbawa.
Alikuwa benet saana na mtoto wa mwakasege (marehemu Joshua Chriss)

Na huyo brazamen alishafuta picha zake zimebaki picha za huyo marehemu Joshuachriss
 
Bwana Yesu asifiwe!

Nasikitika kukufahamisha habari ya msiba wa mtoto wa Mwalimu Christopher Mwakasege. Joshua amefariki.


Alidondoka jana akitoka kazini, akapoteza fahamu na leo amefariki muda mfupi uliopita.

Mwalimu ana Semina mkoa wa Mbeya na ndio mtoto pekee wa kiume. Sio pito Jepesi

Tuwakumbuke kwa maombi.
 
Back
Top Bottom