mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,463
Mtoto wa kiume, umri mkuubwa kila kitu. Mama yangu, unavunja, unapoteza vitu vya watu unampa mzigo wa kulipa mamako.
Hela ya starehe Mamako
Hela ya kuhonga Mamako
Nguo ulizovaa Mamako. Viatu, yaani Mamako Kakuletea sanduku la nguo..
Kubwa mzima unadeka kwa mamako kitoto toto, unaringishia mtaani simu kakupa Mamako
Umekuwa mjinga kabisa. Mamako alipojifungua wewe alijua amepata mtoto wa kumsaidia ukikuwa wewe umekuwa mzigo mzigo mzigo mkubwa kupitiliza.
Jicheki braza badilika..