Mtoto wa kiongozi gani aliyefoji Cheti?

Nimeona na jina moja la MBOWE....!! Je ni kweli kiongozi wetu MBOWE wa Chadema nae ana mwanafamilia aliyegushi vyeti....!? Ama ni jina tu...!?
 
Mtoto wa Fisadi

2.jpg
 
Unamsikiliza asiyejisoma? Alivyosikia ubini wa Ngoyai Lowasa akajua ni mtoto wa Laigwanan. Edward hana mtoto aitwaye Geoffrey.

we unamshikia uume muda wote kiasi kuwa unawajua wanawake wote aliolala nao na aliozaa nao? hata mke wake hawezi kuwa na mahaba kama haya yako

watanzania nini kimewapata mnapenda mpaka mnakuwa wajinga wajinga sasa!
 
Siku nikikutukana utatamani unione. Sina tabia mbovu kama hizo zako, wala sirudishi neno lolote. Jf ni sehemu ya majadiliano na uwasilishaji wa fikra na facts, siyo sehemu ya kuchallenge fikra za mtu kwa kashfa.

umetukanwa umeambiwa ukweli? kwani mtoto wa mkubwa ni wa lowassa tu mle? au ngoyai hawezi kuwa ndugu yake wa mbali? au mtoto wake wewe usiyemjua?

umechemka, ukitukana si poa tu,
 
Siku nikikutukana utatamani unione. Sina tabia mbovu kama hizo zako, wala sirudishi neno lolote. Jf ni sehemu ya majadiliano na uwasilishaji wa fikra na facts, siyo sehemu ya kuchallenge fikra za mtu kwa kashfa.

Ndiyo umenimaindi Mkuu? Basi barida Mtu wangu naomba radhi kwa yaliyotokea. Hata Mimi naona huyo Jamaa siyo Mtoto wa Edward Lowassa na nakuunga mkono.
 
Back
Top Bottom