Foundation
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,421
- 596
Mtoto wa kike wa miaka 9 amefariki huko Tarime baada ya kukeketwa. Bibi wa mtoto huyo anashikiliwa na polisi wa kanda maalumu ya Tarime. Wakati mtoto huyo akipelekwa kukeketwa na bibi yake, mama wa mtoto alikwenda hospitali.
Mama wa mtoto akihojiwa amesema, mtoto wake alikuwa anamlazimisha bibi yake ampeleke kukeketwa.
Source: TBC
Nawasilisha
Mama wa mtoto akihojiwa amesema, mtoto wake alikuwa anamlazimisha bibi yake ampeleke kukeketwa.
Source: TBC
Nawasilisha