Mtoto wa kigogo akamatwa na dawa za kulevya huko China - Dr Slaa

Status
Not open for further replies.
Kuna mtu alishawahi kuleta habari hii hapa jamvini na akadai anaipeleka kwenye vyombo vya habari!Lakini hoja yake ilikosa mashiko na wadau wengi sana waliichallenge akashindwa kuitetea! Sasa naona imeshafika magazetini! Haya mwenye jipya atujulishe kuhusu ukweli wa hii habari!
 
Wale watoto hawana ujinga huo mnavyowafikiria,kwa vile wako money minded basi kila biashara watafanya,huyo Slaa naye kama hana la kusema akae kimya tu,lile la Uswiss limewa shinda wanataka kutu brain wash huku.Wewe Slaa hebu tutajieni hayo majina basi,tuanze na Drama nyingine!man ake TZ is full of Drama!
kwa nini majina ya vigogo wauza unga yanaendelea kukaliwa?
 
Kuna mtu alishawahi kuleta habari hii hapa jamvini na akadai anaipeleka kwenye vyombo vya habari!Lakini hoja yake ilikosa mashiko na wadau wengi sana waliichallenge akashindwa kuitetea! Sasa naona imeshafika magazetini! Haya mwenye jipya atujulishe kuhusu ukweli wa hii habari!

Mara ya kwanza alitajwa Riz1 leo anatajwa Miraji...huku kupika pika story kutaigharimu nchi...
 
Hii thread imeletwa asubuhi sana na jansonbourne mode wakaifanyia fitina ila uzuri imeandikwa hata kwenye blogu yake na kuna mwanamemba Mwenzetu kaitundika kule facebook. Kama vipi Search. Fred chaye nimeiona Mitaa hiyo
 
Mbona Bourne alishawai ileta apa kitambo na picha nzima iliwekwa apa na tukio lilitokea mwezi july
Slaa atakuwa anarudia zilipendwa
 
We unakumbuka wakati yale majina yanadaiwa kutolewa,huyo Miraji alikuwa wapi?,na jee yale majina Marehemu Amina unajua alikuwa anao wa aim.Msikikubali kufanywa Ngazi na wajanja wachache amka dogo!.
 
Karibu majungu street!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kalibu na mtaa wa roho mbaya!!!!
 
Hii thread imeletwa asubuhi sana na jansonbourne mode wakaifanyia fitina ila uzuri imeandikwa hata kwenye blogu yake na kuna mwanamemba Mwenzetu kaitundika kule facebook. Kama vipi Search. Fred chaye nimeiona Mitaa hiyo

Blogu yake inaitwaje...
 
mbona hata riz moko anafanya hizohizo biashara akishirikiana na washkaji zake akina cloud wa maisha club
 
Sio ya mkenya. Ni ya mtanzania mwenzetu nadhani. Jamaa mwenyewe jina lake ni patrick. Labda kama kuna mgongo wa mkenya nyuma yake.
yote yawezekana mkuu.kwa ufahamu wangu,wengi wa waliofungua hizi english media schools ni wastaafu wa iliyokuwa EAC kwa upande wa kenya.
 
Huku anaangaika kuokoa maisha yake kwa kubadili damu, huku pia anaangaika ku solve ishu za ki familia, kweli unategemea nchi kwenda mbele?....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom