[/QUOTE]Si ndiyo wewe unagunaguna ya kwamba siyo kweli fuatilia nyendo zote ya fisadi wenu Jk kama siyo kweli urudi na Jibu kamili!
QUOTE=Elungata;4914156]Kama kuna mtu mwenye kumbukumbu kuanzia tarehe 1 july hadi 5 july atuwekee hapa tuone jk alikua wapi tarehe hizo.kumbukumbu kutoka magazetini au threads za tarehe hizo.maana kila rais akiondoka huwekwa uzi hapa.
Someni kwa makini hizo sehemu nilizo bold na RED ndio uongo wenyewe wote uko hapo, Jason bourne ni mtu wa kufikirika tu nashangaa kama kuna watu wenye akili timamu wanashindwa kutofautisha hadithi za Willy Gamba na Inside Story.
Hii habari ni ya kweli kabisa na na mtuhumiwa ni Riz-One. Ilishawahi kutoka huko nyuma humu JF lakini Mods aliiondoa mara moja. Mimi niliwahi kusave text yake tu kwani nilibahatika kuiona thread muda mfupi tu baada ya kuwekwa na mtoa thread mmoja ambaye sikubahatika kusave jina lake. Thread niliisave tarehe 6 Sept 2012 saa 7.28 pm.
Thread yenyewe inasomeka hivi:
Ridhiwani na madawa ya kulevya china...
Hii nimeikuta kwenye mtandao mmoja hivi..
Rais Jk auza nchi kumuokoa mwanae Ridhiwani asinyongwe China
Huwezi kuamini lakini ni UKWELI
Taarifa za upelelezi makosa ya jinai nchini China zinasema tarehe 01/7/2012, vijana wawili wenye asili ya kiafrika walikamatwa katika uwanja wa ndege wa Hong Kong usiku, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya shilingi za Tanzania Bilioni nne, mkuu wa kitengo chakuzuia mihadarati cha uwanja wa Hong Kong Yiu-Kwong anawataja kuwa ni Ridhiwani Jakaya Kikwete na Abdalah Aman Mohamed
Mnamo tarehe 2/7/2012 majira ya saa nne (4:13) za usiku hapa Tanzania, rais Jakaya Kikwete alipokea simu kutoka kwa mtanzania mmoja aitwae Philip Malmo ambae ni balozi wa Tanzania nchini China, Taarifa muhimu baada ya salamu ilikuwa ni Ridhiwani amekamatwa uwanja wa ndege wa Hong Kong na madawa ya KULEVYA,
Kwa haraka, rais akamuuliza vipi suala hili limeshafika hapo ubalozini? Akajibiwa hapana ni mimi na kaimu wangu tu ndie tumepata taarifa hii mda huu, bado hatujaliifanya lakiofisi, tunasubiri ushauri wako mheshimiwa.
Rais alikata simu huku hali yake usoni ikibadilika gafla, ilichukua kama dakika 20 hivi rais akiwa kimya hata kutikisa macho tu hatikisi, baadae akainua simu na kumpigia rais Hu Jintao wa China, Waliongea kwa mda mrefu yapata dakika 40 hivi, na walikonekana kama hawakubaliana kitu fulani katika mazungumzo yao. Baadae simu ikakatwa,
Akampigia simu Malmo nakumwambia suala hili walifanye kwa siri kubwa asijue mtu yeyote, naaweke maandalizi yawe tayari yeye anajiandaa kuja kulimaliza, kasha akampigia tena simu Hu Jintao na walitumia dakika 16 tu akainuka nakusema, vijana, mwambie SD53 aandae ndege haraka kwa safari ya China,
Gari ya kirai namba T 435 CDR aina ya Landcruiser nyeusi iliingia nakuwabeba watu watatu akiwemo rais Jakaya kuelekea airport, kama dakika 13 ikafika airport, tayari ndege ilishaandaliwa na palikuwa na maafisa watatu, wote tuliingia katika ndege ile isipokuwa yule dereva wa gari ambae aligeza mjini, hiyo ilikwa sasa ni saa 7:43 za usiku.
Tarehe 3, majira ya saa nane za usiku kwa china, tulifika China, hakukuwa na aina ya mapokezi yoyote ya kiserikali, na baada ya kushuka tulimkuta Malmo na msaidizi wake wakitusubiri, Malmo alikuwa tayari ameshaandaa hoteli lakini kulingana na tukio lilivyo tulikubaliana tusilale na tukammwambia mheshimiwa rais amwambie Hu Jintao kuwa ameshafika. Rais alitekeleza hilo na baada ya dakika 15 maafisa watatu wa china walifika nakujitambulisha kuwa wenyeji wetu, wakatuchukua hadi alipo Hu Jintao katika moja ya ikulu ya Hong Kong,
Kikao chao kilichukua masaa manne, na jambo kuu walilokuwa wanakubaliana ni mashariti ya kumuachia, Hu Jintao alihitaji jambo moja tu, kwamba nini serikali ya china itapata kwakumwachia huru Ridhiwani? Kilichomvutia Hu Jintao naakamua muachia Ridhwani ni ahadi ya makubaliano ya Rais Kikwete kuwa ataipa China fursa ya uwekezaji wakudumu kusini mwa Tanzania ambako kumegunduliwa mafuta, gesi, na makaa ya mawe.
Kwakuwa sera ya china kwa sasa ni Now we are going to Africa, ilisaidia sana kukubali ombi hilo la jk na kuahidi kuanza utekelezaji kuanzia mwaka 2013
Majira ya saa 11 alfajiri kwa saa za china, Ridhiwani aliletwa akiwa katika gari dogo, nakupokelewa na jk huku wakikumbatiana wote WAKILIA. Jk na Jintao wote kwapamoja wakamuonya sana nakumwambia ameliaibisha taifa la Tanzania, lakini kwakujitetea akasema sio yeye, ila inawezekana yule kijana waliyesafiri wote kutoka Ethiopia ndie mwenye mzigo huo.
Majira ya saa 12 za asubuhi tukaondoka kurudi Tz.
[/quote]si ndiyo wewe unagunaguna ya kwamba siyo kweli fuatilia nyendo zote ya fisadi wenu jk kama siyo kweli urudi na jibu kamili!
quote=elungata;4914156]kama kuna mtu mwenye kumbukumbu kuanzia tarehe 1 july hadi 5 july atuwekee hapa tuone jk alikua wapi tarehe hizo.kumbukumbu kutoka magazetini au threads za tarehe hizo.maana kila rais akiondoka huwekwa uzi hapa.
Umeshawahi kusoma vitabu vya Willy Gamba?Ivunga umetumwa wewe si bure.
halafu eti anayapeleka China..kweli Riz 1 ana akili za aina hii? kwa shia gani aliyokuwa nayo hadi a take risk kubwa hivi...? LMAO!!!!!!!!Hivi huyo Riz1 mpumbavu kiasi gani ayabebe madawa ya kulevya yeye mwenyewe na asitumie watu wengine?
nitumwe na nani? mkija hapa JF mjipange na mabifu yenu huko yaishie huko huko....msituone sisi ni wajinga.Ivunga umetumwa wewe si bure.
Huyu mtoto ni nani: kwa tetetsi zilizopo Usalama wa Taifa ni Kijana wa Kikwete anayeitwa Miraji Kikwete, ilibidi Jamaa (Rais) aondoke kimya kimya kwenda China kunusuru maisha ya kijana wake.
Next : Dr. Slaa anasema baada ya makubaliano ya kumtoa huyu kijana je Serikali ya China itafaidika vipi na kumwachia huyu kijana,maana sheria zao ni kwamba lazima angeuwawa tu.
Tanzania Daima (27/10/2012)
MTOTO wa Rais Jakaya Kikwete, Miraj Jakaya Kikwete, amekitetea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akipinga chama hicho kuhusishwa na vurugu mbalimbali zinazotokea nchini, zikiwemo zile za Wamachinga, zilizotokea jijini Mbeya hivi karibuni.
Mtoto huyo wa Rais alionyesha kukerwa na watu wenye mtazamo wa kukisingizia chama hicho kikuu cha upinzani kwa kukihusisha na vurugu, wakati hali halisi inaonyesha wazi kuwa wananchi wenyewe hawaridhishwi na hali ya mambo ilivyo na hivyo kuamua kuwa mstari wa mbele kupigania haki zao.
Miraj aliweka wazi msimamo wake huo kupitia mtandao wake wa facebook akichangia mjadala mzito uliohoji kwa nini CHADEMA inasingiziwa vurugu Mbeya?
Mtoto huyo wa Rais, aliweka wazi ujumbe wake huo baada ya mchangiaji mmoja, kuchangia kwa jazba akitabiri machafuko kutokea kabla ya 2015.
Mchangiaji huyo alisema yeye si mtabiri, lakini kwa hali ilivyo nchini, tunaelekea kwenye vita na haina hata mpito wa chaguzi mbili mbele kwa maana ya 2015 na 2020.
Mchangiaji mwingine, Gallus Mpepo, ambaye ndiye aliyekuwa akijadiliana na Miraj, alianza kwa kumrushia lawama Mkuu wa Mkoa mpya wa Mbeya, Abbas Kandoro, kwamba kila mkoa anaokwenda, amekuwa ukikumbwa na vurugu za Wamachinga.
Mpepo alisema anashangaa kuona baadhi ya wachangiaji wa mjadala huo, wanahusisha vurugu za Mbeya na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), licha ya kwamba chanzo chake kiko wazi kwamba wafanyabiashara hao walikuwa wakipinga kuondolewa kwenye maeneo yao ya biashara bila kupewa maeneo mbadala.
Alisema hii inatokana na hali ya kutaka kuficha makosa yaliyofanywa na uongozi wa mkoa huo chini ya Kandoro, kutoongoza kwa busara katika kutatua kero za wananchi.
Katika ujumbe huo, Mpepo alieleza kufurahishwa na ujumbe wa mtoto wa Rais Kikwete na kwamba ameupenda ufafanuzi wake kuhusu mjadala huo.
Akichangia mjadala huo, Miraj ambaye ni nadra kujihusisha na masuala ya siasa, alihoji nani anayedai haki Mbeya kati ya CHADEMA na wananchi hadi kusababisha vurugu hizo.
Mtoto huyo wa Rais Kikwete alisema ni makosa kuihusisha CHADEMA na vurugu hizo kwani CHADEMA si nchi.
CHADEMA si nchi ni chama na si kwamba wanachama wa CHADEMA ndio pekee wenye shida na matatizo, ni Watanzania wote, alisema mtoto huyo wa Rais.
Miraj alienda mbali kwa kusema ni fikra potofu kufanya kama vile kuna Tanzania na CHADEMA.
Maana serikali ndiyo Tanzania na CHADEMA ni chama ndani ya Tanzania, ni chama cha Watanzania kwa ajili ya Watanzania, kama kilivyo Chama cha Mapinduzi (CCM), NCCR-Mageuzi na kadhalika.
Tofauti ni harakati na sera... tupendane Watanzania, tutafika mbali kwa umoja na mshikamano wetu na wala si kwa kejeli na matusi , wenye haki tuwasimamie wote na penye haki tusimame sote, alisema Miraj
CHANZO: Tanzania Daima