Mtoto wa kigogo akamatwa na dawa za kulevya huko China - Dr Slaa

Status
Not open for further replies.
Humu ndani tumekuwa vichaa??? hivi dhambi ya mtoto anachukua baba yake au chama cha baba yake?????? mbona mnjajichanganya weneywe au kwa sababu amesema slaa???? ambaye kwenu ni kama malaika kwani hata kama akikosea inakuwa sawa???? Hivi karibuni tulikuwa tunalaani kitendo cha mtoto aliyekojolea kur'ani tukasema kuwa huyo ni mtoto kulikuwa hakuna mantiki ya kuchoma makanisa wala vurugu na wale wote waliochukulia jazba tuliwalaani sana nikiwemo mimi ambaye ni mwislamu. sasa kama huyu mtoto amekamatwa na kosa la jinai ughaibuni chama cha baba yake kinahusu nini??? huyo ni mhalifu tu hata kama angekuwa mtoto wa rais bado angekuwa ni mhalifu tu. wacheni fikra mgando ambazo zinatufanya tushindwe kupambanua mambo.

Sikulaumu kwa kuwa najua kuwa kufanya reasoning kunahitaji akili.

Mtoto alikojolea Quran ni mdogo na sidhani kama baba yake angejua mtoto yule ana nia hiyo angemuacha afanye hivyo. Na hata mimi sidhani kama mtoto yule alikuwa na nia nyingine zaidi ya ku-prove ubishi wao wa kijinga. Kwa hiyo naamini kuwa ulikuwa UPUMBAVU mkubwa kuhusisha Kanisa na kitendo kile.

Huyu anayezungumziwa hapa ni mtu ambaye, Diplomatic Passport anayofanyia biashara ya madawa ameipata kwa mgongo wa babaake. Ni dhahiri jambo hili si geni masikioni mwa baba yake. Kinachofanya BABA na CHAMA waingizwe hapa ni kitendo chao cha kutumia gharama kubwa kuficha ukweli wa jambo hili kiasi sasa inafikirika kuwa huu ni mpango wa pamoja na ndio maana wako bize na matokeo yake.

Huyo watanyonga tu, maiti yake watupe tuipeleke Kawe ikafufuliwe
 
Lakini kwa nini hawatajwi?............rais dhaifu anawajua lkn hawataji na wala hawachulii hatua...hata sisi ni dhaifu km rais dhaifu?
 
nilikua nasikiliza WAPO radio FM kuna habari kutoka Tabora ikimnukuu doctor Slaa kuwa ana ushahidi wa kutosha kuwa mtoto wa Kigogo mmoja wa CCM alikamatwa na madawa ya kulevya huko China July mwaka huu.

mwenye ile thread kuhusu hii issue aiunganishe hapa chini..nimeitafuta sijaipata humu.

nawasilisha.

Duuuh mnazidi kunichanganya na kuniumiza kichwa tu hapa!

Daaah mbona inatisha? Kama movie hivi
 
nilikua nasikiliza WAPO radio FM kuna habari kutoka Tabora ikimnukuu doctor Slaa kuwa ana ushahidi wa kutosha kuwa mtoto wa Kigogo mmoja wa CCM alikamatwa na madawa ya kulevya huko China July mwaka huu.

mwenye ile thread kuhusu hii issue aiunganishe hapa chini..nimeitafuta sijaipata humu.

nawasilisha.

nilishakuambia toka zamani story zako haziwezi kukubaliwa hata hapo globo publisher.kama unataka kuwa mtunzi wa riwaya ujue kuwa hailipi siku hizi ,jaribu kilimo,UTATOKA.
 
nilishakuambia toka zamani story zako haziwezi kukubaliwa hata hapo globo publisher.kama unataka kuwa mtunzi wa riwaya ujue kuwa hailipi siku hizi ,jaribu kilimo,UTATOKA.

stori za nani??titans ama dr slaa??ama WAPO radio walionukuu??
 
Mhh......?

Hard to Swallow...., Nadhani hii kitu bila concrete evidence itabakia kuwa kwenye fictitious side.., (Its a Big Scandal involving two countries, two leaders and aiding and abating criminals...)

So until then taichukulia kama hadithi... (hata kama ni kweli), Pia nadhani kwa Raisi wa Hong Kong asingependa kuhusika directly angetumia wapambe wake na sio kujilengesha kwenye potential scandal
 
Du!. Nilimuona wiki iliyopita Jk na Membe walikuwa wanasaini mikataba na waarabu kule Oman. sasa naanza kuhisi kuwa huenda kuna kulipana fadhila kwenye hii mikataba ya uwekezaji. Ni kama hawa wachina wanavyopewa kirahisi rasmali za watanzania. Naona 2015 ni mbali sana. Natamani kuwe na uchaguzi mkuu hata kesho ili nisikosee tena kutupia kura yangu sehemu stahiki.
 
Mhh......?

Hard to Swallow...., Nadhani hii kitu bila concrete evidence itabakia kuwa kwenye fictitious side.., (Its a Big Scandal involving two countries, two leaders and aiding and abating criminals...)

So until then taichukulia kama hadithi... (hata kama ni kweli), Pia nadhani kwa Raisi wa Hong Kong asingependa kuhusika directly angetumia wapambe wake na sio kujilengesha kwenye potential scandal

Najaribu kuunganisha dot hii habari lakini bado kichwa changu kinagoma kukubali ama kukataa!
 
Humu ndani tumekuwa vichaa??? hivi dhambi ya mtoto anachukua baba yake au chama cha baba yake?????? mbona mnjajichanganya weneywe au kwa sababu amesema slaa???? ambaye kwenu ni kama malaika kwani hata kama akikosea inakuwa sawa???? Hivi karibuni tulikuwa tunalaani kitendo cha mtoto aliyekojolea kur'ani tukasema kuwa huyo ni mtoto kulikuwa hakuna mantiki ya kuchoma makanisa wala vurugu na wale wote waliochukulia jazba tuliwalaani sana nikiwemo mimi ambaye ni mwislamu. sasa kama huyu mtoto amekamatwa na kosa la jinai ughaibuni chama cha baba yake kinahusu nini??? huyo ni mhalifu tu hata kama angekuwa mtoto wa rais bado angekuwa ni mhalifu tu. wacheni fikra mgando ambazo zinatufanya tushindwe kupambanua mambo.

Unashangaza watu kwa hoja zako za unazi, baba mtu alifuata nini kama ni kweli, alafu kumbuka familia yote imechukua vyeo muhimu katika kila idara hivyo mtoto akikosea tunajaji kukuatana na umri, hivyo huyu sio mtoto tena labda tutafute kiswahili kingine tumuite mwana au kijeba. Kuhusu kuhusisha chama hela hizi chafu hutumika kuchukua madaraka kwa ushawishi wa kuonga, kwa hili kwa Sie Siem halina ubishi kwani ndio zao kutukuza waarifu
 
Inasikitisha sana kuona rasilimali za watanzania zikitolewa kama pipi huku wananchi wake wakibakia kwenye dimbwi la umaskini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom