Mtoto wa kapuya na mauaji ya mwanafunzi Tabora: Ukweli ni upi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa kapuya na mauaji ya mwanafunzi Tabora: Ukweli ni upi?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Shadow, Dec 16, 2009.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mtoto wa kapuya na mauaji ya mwanafunzi Tabora: Ukweli ni upi?
  Nimesoma habari hii kwenye magazeti tando na kukuta maelezo tata kuhusu hili suala. Is there anyone to shed some lights? Nachelea kusema isje ikawa kama mambo ya mtoto wa Yule katibu mkuu kiongozi [mstaafu]. Hii issue imekaa kimashakamashaka.
  :confused:Wapo wanaosema mlinzi ndo aliyefanya hicho kitendo na wengine wanasema ni kijana wa waziri Kapuya
  Source: http://www.bongoyetu.com/component/content/article/1-latest-news/184-hoteli-ya-kapuya-yashambuliwa-mwanawe-chupuchupu.html?directory=300126
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Embu wenye data watuletee! Maana mie nilisikia mlinzi huicha shorgun chini ya kitanda na jamaa akaichukua na kuitumia sijui imekaaje hapo?
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwangu mimi, It doesnt matter nani ndiye aliyeua, the most important thing is Justice to take its course bila kujali ukubwa au kujuana

  Let whoever killed the boy be served appropriately
   
 4. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Justice on air?? Si angalau ijulikane who did it??
   
 5. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Sidhani kwa malofa hapa TZ kama kuna kitu kinaitwa justice,hapa justice ni kwa wakubwa na familia zao pamoja na vitukuu vyao,tumeshuhudia akina watoto wa makada wa chama wazee wa kupinga waraka na wa aliyekuwa katibu wa mkulu magogoni enzi hizo justice ilivyowabeba
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,315
  Likes Received: 5,609
  Trophy Points: 280
  Police wanasemaje?uchunguzi hakuna au sababu mtoto wa waziri!??balaaa basi hiyo familia imeamua kuzika haraka haraka kwa nini??au itaharibika hakuna majokofu kuhifadhi?????daa hili gape na umasikini uoga utaisha lini??
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  haya tutajie.... nani aliyeua?
   
 8. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Unapenda utajiwe kwani wewe uko wapi?basi subiri bana utatajiwa usiondoke
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Justice haiwezi kutendeka kama investigation haijakamilika, and that was my point

  nisingependa mlinzi awe victim simply kwasababu ni mlinzi au mtoto wa kapuya awe victim simply because ni mtoto wa mkubwa

  My point ni kwamba let the killer be served regarless of his family clout
   
 10. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  This justice cannot take it's course without the right determination of who the killer is.

  It is extremely important to establish who the killer is, how can a judge exact justice if the killer is unknown?

  Tumekupa kesi sasa wewe MTM ndiye judge, mete out justice, lakini there is no way of knowing kati ya hawa wawili nani kaua, utatoaje justice?

  Some of our statements are rather irresponsible.
   
 11. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135

  This context should have been elaborated in the first place, kwa sababu umeeleweka kama hujali nani kaua, ukisema hujali nani kaua kama preface ya maneno yako unaonekana hujali justice, kwa sababu ili justice ifanyike inabidi ujali na kujua nani kaua.

  Baada ya kuelezea umeeleweka lakini unaweza kushtua watu namna hii.
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  i never knew that when i say "it doesnt matter" it means i dont care... this is new to me

  the context was clear, the main focus of my sentence was "justice" whether ni Kapuya son au mlinzi

  forgive my poor english bwana J. English
   
 13. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  If it doesn't matter, you don't discriminate, if you dont discriminate, you can't incriminate. And that's not Cochran.

  If it doesn't matter, you don't care, if you care, it matters.
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nimekusoma mazee, good one!!!
  Maybe next time its good that one analyses the context of a sentence rather than just picking on words halafu unasema ni irresponsible... Kwangu mimi justice haiweki kutendeka bila uchunguzi, therefore justice is the mother of all the processes

  Sorry kwa wote ambao hawakunielewa, english si lugha mama
   
 15. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2009
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,386
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Sheria Lazima itapindishwa mlinzi adondokewe na jumba bovu
   
 16. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Huwezi kusoma context ya kitu kilichoandikwa kwa aina inayoweza kuwa interpreted multiple ways, worse still, kama the most obvious interpretation siyo iliyotakiwa, aliyeandika ndiye ana makosa kwa kutoa impressionmbaya.

  Wewe umesema it doesn't matter who the killer is, halafu katika kujieleza unaonekana kusema kuwa unataka investigation ifanyike ili kuestablish nani kaua ili justice itendeke, kwani justice haiwezi kufanyika bila investigation.

  Hizi habari za investigation zinavunja ile premise yakop ya "it doesn't matter who the killer is" ambayo ni sentensi ambiguous.

  If justice is the mother of all processes, be just with your words and choice of language, for communication is a process.
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hivi Bluray (Jonny English), hii ping-pong ya maneno inaboresha kwa namna yoyote justice to be served jwa aliyeuawa?

  Just go back to a few posts above utaona ulivyochora kekule structure halafu uko bize na hoja isiyo hoja kwenye issue ya mtot wa kapuya kuua

  Eniwei, am out and all the best
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha...
  Damn it...
  Hii ndo bluray tradition sio??????


  Ha ha ha ha..

  Utawafanya watu waogope kuchangia
  kwa kuogopa kukusolewa presentation yao ya maneno..

  All in all i realy enjoy it...
   
 19. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hapa kuna matters za.

  1. Attention to detail
  2. Commitment to preciseness
  3. Adhering to a succinct communication form
  4. Looking at the finer pixels without losing the bigger picture.

  Ukishaanza kwa kutoa communication inayoweza kuwa interpreted kama una a distorted view of the bigger picture kama kwa kusema "it doesn't matter who the killer is" ume fail ku communicate.It matters much who the killer is, in fact a big part of meting out justice is establishing who the killer is, and without establishing who the killer is, justice cannot be served unreservedly.

  Hizi si mere academic construct and mental armwrestling, ni points valid sana, kuna wengine wana interest katika sheria, wengine wataenda kuwa katika law enforcement na judiciary, wengine wamo bungeni humu, kwa hiyo tusipo debate hizi details tunapoteza maana ya forum.'

  Hii tabia ya kusema vitu rejareja itatucost.

  Jana nilikuwa na rafiki yangu mmoja, nina copy some data from his laptop to my flash drive, kabla ya kumaliza ku cpopy data akasema "I am shutting down everything" mimi nikamwambia what do you mean you are shutting down everything, then aka elaborate kwamba, I am shutting down all tehse windows but I will leave the laptop on to copy your files, nikamwambia usiseme I am shutting down everything basi.

  Kuna form fulani ya communication tunayo sana watu tuliotoka katika oral tradition societies, kwamba preciseness katika maneno si muhimu, kwamba mimi naweza kusema A nikimaanisha B, halafu nitategemea wewe unielewe kwamba nasema B, kama vile wewe ni psychic.

  Ukienda kukaa na watu wenye kuchambua coma inakaa wapi, na semi colon inakaa wapi, apostrophe inakaa wapi na hyphen inakaa wapi unatupwa nje ya ulingo in seconds.

  Nita demand preciseness nitakapoona siipati. Wala sitaona kazi.

  Hoja isiyo hoja ndiyo itakayoamua fate ya universe, kwamba iendelee ku expand, isimame in suspension, au isinyae kuelekea kwenye big crunch.

  Halafu wewe bado utaiita "hoja isiyo hoja"

  Ushaambiwa jiwe lililopuuzwa na waashi ndilo likaja kuwa jiwe la msingi.

  Hoja isiyo hoja my foot.
   
 20. Companero

  Companero Platinum Member

  #20
  Dec 16, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bluray kindly send me your CV. I hope this is not the Kapuya's son I know. Anyway, as Thurgood Marshall told us many years ago, Justice delayed is Justice denied.
   
Loading...